Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,106
- 64,099
Mnaopenda wapenzi wenye shingo ndefu,karibuni
ha ha ha ha wanaogopeshaDuh..
Wa sukumaland
ha ha ha ha binadamu wapo wa aina nyingi
Duu ghafula bin vuu kama mtu hujarudi nyuma daaha ha ha ha binadamu wapo wa aina nyingi
ha ha ha ha wamefanana na nani?
Ha ha ha ha haNadhani kuna mambo mengi sana ambayo mwanamke aliongea na shetani ..na mengine tunayaona leo
ha ha ha vipi mkuu umeshakutana nao?
Mpenzi churaMpenzi Twiga!
Halafu na mimi nina shingo ndefu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].Wimbo wako huu, nilivyoona hiyo thread nikaukumbuka.
Halafu na mimi nina shingo ndefu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Ndiyo nimeusikiliza sana hadi naanza kunukia uhenga.
Sent using Jamii Forums mobile app