Huyu dada simuelewi kabisa

Huyu dada simuelewi kabisa

mr mkwawa

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
146
Reaction score
295
Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unastahiki kuambiwa weye ni fwala hasa hujielewi.

Wana JF kuna mambo ya kuja kuulzia humu.alafu mtu anajinasibu mwanachuo anaomba ushauri kanya mat.ako yana kinyesi afanyeje?

Nyambaaaaaaf umenibhoa ssna mkuu.
Samahani kama nimekukera.
 
Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulaza damu kijana, yaani hata picha huielewi inasemaje... Au unatupima imani...??? Dada kapenda huna budi kumpenda

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Dada amekufananisha na mashosti wake, ndio maana hata akitongozwa anakuhadithia maana anajua hauna sumu kwake. Kwa kifupi huyo dada hana adabu ameshindwa kukutofautisha wewe na James Delicious.
Ila hii habari tayari ishawahi kuletwa humu jamvini kama ilivyo.

Maendeleo hayana chama
 
Unastahiki kuambiwa weye ni fwala hasa hujielewi.

Wana JF kuna mambo ya kuja kuulzia humu,alafu mtu anajinasibu mwanachuo anaomba ushauri kanya mat.ako yana kinyesi afanyeje?

Nyambaaaaaaf umenibhoa ssna mkuu.
Samahani kama nimekukera.
😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Kweli nimeamini upele humwota asiye na kucha....hebu nipe namba ya huyo dada nimuulize ameanza tabia gani..
 
Huyo anakueleza jinsi gani yupo kwenye soko na anataka wewe ndo umchukue . Sasa wewe kama boya unatazama tuu. Rusha hata nusu jiwe tuu ujue kama ata kubali au laaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
unatuaibisha ww mwanaume wa Dar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom