mods na jamiiforums

mods na jamiiforums

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,745
Reaction score
25,678
DADA ZANGU : Usi mdharau Mwanaume asiye na hela halafu anakupa elfu 5 wakati yeye kaingiza elfu 10 kwa maana mmegawana nusu kwa nusu. Ikiwa na maana Kakupa 50% ya kipato chake hivyo kakuthamini sana, na anakupenda, na siku akifanikiwa utaishi kama malikia.

Ila wengi wanadanganywa na wanaume wenye milioni 100 ambapo yeye ana familia yake halafu anakupa laki 1 umejihisi kama wewe ndio malikia wa mtaa, wewe ndio wa thamani kuliko wasichana wote, hahahahaa Dada yangu fahamu kuwa huyo mwanaume Kakupa 0.1% tu ya kipato chake.

Hivyo basi 99.9% iliyobaki, ana Share na familia yake yaani watoto wake na mke wake.
Nahapo unakataa na kuwatupilia mbali wale ambao wanamaisha ya kawaida kisa unapata offer za kubebwa kwenye gari umekodishiwa nyumba ukanunuliwa na tv et unaona unatunza uaminifu wakati mtu ana mke wake na familia yake.. Kwanza unapata laana nyingi
Unasababisha watoto halali wa ndoa ya huyo baba kukosa mahitaji yao mhimu maana badala hizo 50, 50 wapewe poke money unapewa wewe
Pili unazini na mme wa mtu mke wake kila siku anaomba kwa Mungu mme wake awe mwaminifu na ajue kulitunza agano la ndoa ila wewe unaingia kushindana na Mungu hapo lazima baraka kwako zikome uishi kaa msukule fulani unayewaza vitu kuliko future yako
Tatu unaawapoteza watu ambao ungekua nao wao wangekuoa na kukupenda kama mkeo sasa unapoteza muda na unawajibu kwa vyote eti utanipa nini wewe wakati ulitakiwa kuwaza hivi nini mwisho wa haya mambo je ndoa na familia yangu ipo wapi my dia utajuta badae
Nne what's goes around comes around na wewe ukija kuolewa mmeo atazini kama huyo unayezini naye sasa ndio utauona uchungu na kutaka mmeo asizini ila ndio atazini mpaka ndoa yako itavunjika ukiwa na watoto soko la kuolewa halitakuwepo tena tabu ndio utaipata sasa huku ukiwa nahistoria tu ya ujana wako jinsi magari ya wanawake wenzako ulivyoyapandanga na kubadilisha magest kama rangi za kucha :
My Dear dada, siku zote usiogope kuanza na mtu katika hali ya chini, huwezi jua nyota yake imeelekea upande gani, siku ikija kuwaka utashangaa kuiona sehemu ambayo hakutarajia kabisa. Na hapo ndipo utaishi zaidi ya malikia aliolewa na mfalme wa mapenzi.
 
Kaka hayo yote tunayajua tu.....jua tu mwanamke ni pesa tu.......usipoteze mda na maubili yako tafuta pesa utapata amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nomaaa sana mkuu imekuumiza sana bwashee pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo imekuwaje kwani???

luckyline
Mzigua90
Khantwe
Miss Natafuta

Hebu njooni huku sijui kumetokea nini leo
Hii bandiko halinitishii, najihudumia kodi nalipa mwenyewe simtegemei mtu yoyete ila ikitokea bahati mbaya nika date Mme wa mtu lazima awe first class tusichoshane.

Kutendwa ndio kunasababisha haya tofauti na hapo niendelee kuwa single
 
Kwani upo single mamaaa???
 
Back
Top Bottom