Manup guys have stand

Manup guys have stand

Toragamaganza

Senior Member
Joined
May 28, 2016
Posts
119
Reaction score
94
Nipo na rafik yangu wa kitambo sana kama miaka nane hiv,
Ni mtu at least naweza muita rafiki,
Nivigumu kumake new friends unakuta washikaji wa zaman ndo wale wale,
Once i find out that ur royal then i keep u,
Shida inakuja hapa,Kaz imenifanya niwe busy kiasi kwamba kuonan shida sana.
Bas nafanya kupanga ratiba ya usik tuonane asije sema ohoo mwamba nalinga siku hiz,
Kwel nasettle siku dah jamaa analetea habar ohoo nakula na girlfriend wangu,
Duh,naishiwa nguvu namchana pia we utakujaje na demu wako sas na mm nikisema nije nae tutaongea kwel minango yetu
Anasemaa mara ohoo siwez kumuacha ATALALAMIKA kwel?
Nimemwambia hapo hapo asee acha hudhaifu wa namna hiyo,
Jamn mapenz yasituende kuweni na misimamo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom