Braitfyucha
Senior Member
- Feb 22, 2019
- 163
- 187
Wadau niende moja kwa moja kwenye mada.
Ukifuatilia kwa sasa hali imekuwa tete sana hasa kwa dada zetu. Wanazisaka ndoa kwa fujo
wengi wamechanganyikiwa sababu umri unaenda, anazidi kuzeeka hata wa kumwambia "will you marry me?" hamuoni.
Vijana wanasuuza marungu yao wanasepa huku wadada wanabaki kujiuliza tatizo ni nini? Wengine wanajiuliza wanakosea wapi?
Wadada wengne wakabuni mbinu labda nimbebee mimba atanioa lakini wapi. Wengne wakabuni mbinu ya tusifanye sex mpaka ndoa lakini mwishowe jamaa waishia kukimbia tu na kwenda kuoa kwingine. Wadada wanazidi kuchanganyikiwa, wanajiuliza zaidi wanakosea wapi?
"To change your world change yourself first”
Panga kubadilika sasa. Unaweza usiwe malaya ila una vijitabia fulani vinavokuponza jamii inakuchukulia kuwa ni walewale tu waliokunywa uji wa mgonjwa.
Kagua vizuri kundi la marafiki zako, punguza wasiokufaa. Kuwa na kazi yoyote halali ya kufanya ili mradi haivunji sheria za nchi na amri za Mungu.
Waoaji wapo wengi tu tatizo wadada walio wengi miyeyusho.
Sent using Jamii Forums mobile app