Natafuta Mwanamke Malaya Nimuoe

Natafuta Mwanamke Malaya Nimuoe

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,482
Reaction score
40,855
Wasaalam members wote humu...rejea tangazo langu hapo juu.. baada kutafuta mwanamke mwaminifu na mcha mungu kwa muda mrefu na hatimaye imeshindikana kumpata kwa kizazi cha sasa..baada ya wengi kuiishia miaka ya 80. Sasa nimeamua kutafuta mwanamke malaya asiyeridhika na mwanaume mmoja, mauno feni ila asiwe na tamaa ya pesa asije nitoa tu roho yangu namuhitaji kwa ajili kufunga naye ndoa.
Mwanamke mwenye sifa tajwa ani PM kwa utekelezaji.
tiffany-rose-gold-engagement-ring-wedding-band.jpg__1536x0_q75_crop-scale_subsampling-2_upsca...jpeg


wali nazi maharage nazi
 
humu kila mdada atajifanya ana tabia nzuri.. [emoji3]
Wasaalam members wote humu...rejea tangazo langu hapo juu.. baada kutafuta mwanamke mwaminifu na mcha mungu kwa muda mrefu na hatimaye imeshindikana kumpata kwa kizazi cha sasa..baada ya wengi kuiishia miaka ya 80. Sasa nimeamua kutafuta mwanamke malaya asiyeridhika na mwanaume mmoja ila asiwe na tamaa ya pesa asije nitoa tu roho yangu namuhitaji kwa ajili kufunga naye ndoa.
Mwanamke mwenye sifa tajwa ani PM kwa utekelezaji.View attachment 1063008

wali nazi maharage nazi

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Ngoja wkiona watakuja wenyewe huko ulipo waambia.

Love and peace
 
Hata lipicha la pete ni la mtandaoni.. unajipaisha huku umejionyesha umejaa majanga.. katangaze pia kijijini kwenu upate twakimu huko kwanza.
 
Yajayo yatafurahisha zaidi.. Kwa hiyo unatafuta malaya???? Ukimaliza ujana utajagundua ulikuwana fikra jinga sana.
 
Hata lipicha la pete ni la mtandaoni.. unajipaisha huku umejionyesha umejaa majanga.. katangaze pia kijijini kwenu upate twakimu huko kwanza.
Haha haha kijijini kwetu hamna wenye sifa nataka wa humu we kama hauna sifa pita iv

wali nazi maharage nazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom