Mambo vipi.. Unajua kuna wanaume/vijana wa kiume wanaamini au wamekaririshwa kuwa kupiga magoli mengi ndio kuonyesha kuwa wewe ni mwanaume... Huu ni ufala
Sikiliza wewe unayeamini hivyo. Katika mapenzi(sex) mchezo huwa hivi... Piga goli moja na mwenzo apige goli moja mpumzike mpaka siku nyingine au wakati mwingine.
Hii husaidia katika mapenzi msichokane na mzidi kupendana zaidi.
Sasa unakuta jamaa anakula sijui Nazi, karanga maziwa ya mgando sijui nini na nii bado anasoma vitabu kadahaa....Daah.
Sheiria ya mchezo PIGA GOLI MOJA, NA MWENZIO APIGE INATOSHA.
Sent using Jamii Forums mobile app