thebosskissima
Member
- May 22, 2017
- 65
- 299
TUSAIDIANE HAPA
Leo ni siku ya birthday ya mke wako. Ameamka asubuhi mapema amevaa amependeza anakuaga anakwenda kazini. Mida ya saa nne unakwenda kazini kwake ukiwa na maua na keki ili um-suprise. Unafika mapokezi pale kazini kwake unamuulizia unaambiwa amepiga simu kuomba ruhusa ya ugonjwa kwa hiyo hayupo kazini.
Unampigia simu anakwambia yupo bize sana na kazi ofisini atakupigia baadae.
Kaka,utafanyaje!?