Wanaume wengi haturidhishwi jamani!!

Wanaume wengi haturidhishwi jamani!!

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,480
Wanawake wengi hulalamika kwamba hawalidhishwi na wenzi wao kimapenzi.ila amini nawaambieni 95% inasababishwa na wanawake wenyewe

Unakuta mdada umelala nae anakugeuzia mgongo .sasa nakuandaaje hapo?

Yani unakuta janamke unalishikashika na kulipapasa kila sehemu ye kaganda tu hana response yoyote ile.ametulia kama gogo au boga vile.

Unakuta mwanamke unampapasa sehemu tofauti za mwili ila kaganda tu ata harespond

Hapo hapo unakuta hajanyoa minywele yake na hapo hapo kuoga hajaoga ukiuliza anakwambia nimeoga nyumbani,wanawake jamani mnatuboa sana hamjui tuu.

Na sisi tunataka raha na kulidhishwa kama nyie mnavyotaka tuwastareheshe tu..na sisi tunapenda sana kupata raha jamani.

Raha sio tu ile tukishawaingiza dushe na kumwaga hapana.raha ni pale tunapoandaana nikikushika hapa na wewe unashika pale.

Nikikuchezea hapa na wewe unachezea pale na sio nakupapasa na kukuchezea we umeganda tu unasikilizia utamu tu.

jifunzeni wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi hulalamika kwamba hawalidhishwi na wenzi wao kimapenzi.ila amini nawaambieni 95% inasababishwa na wanawake wenyewe ..unakuta mdada umelala nae anakugeuzia mgongo .sasa nakuandaaje hapo? Yani unakuta janamke unalishikashika na kulipapasa kila sehemu ye kaganda tu hana response yoyote ile.ametulia kama gogo au boga vile..unakuta mwanamke unampapasa sehemu tofauti za mwili ila kaganda tu ata harespond .hapohapo unakuta hajanyoa minywele yake na hapo hapo kuoga hajaoga ukiuliza anakwambia nimeoga nyumbani,wanawake jamani mnatuboa sana hamjui tuu.na sisi tunataka raha na kulidhishwa kama nyie mnavyotaka tuwastareheshe tu..na sisi tunapenda sana kupata raha jamani. Raha sio tu ile tukishawaingiza dushe na kumwaga hapana.raha ni pale tunapoandaana nikikushika hapa na wewe unashika pale.nikikuchezea hapa na wewe unachezea pale na sio nakupapasa na kukuchezea we umeganda tu unasikilizia utamu tu..jifunzeni wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwel kabisa unakuta jinamke limelala tuu utazani limjus nimekutana nayo sana
 
Back
Top Bottom