Mwanamke unamgharamikia pesa nyingi sana na yeye anakusumbua kwa kila jambo lake. Michepuko nayo inahudumiwa kuliko wake.
UMNUNULIE
1. Nguo
2. Simu
3.zawadi kila week au mwezi
4.vifurushi vya...
Kuna wanao waza kujenga nyumba nzuri na kuendesha gari zuri.
Hawa hata wawe na laki tano benki, ukimwambia shost Sinza Mori kuna nyama Choma nzuri mno, atasema hana hela. Akishanunua kiwanja...
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo kwamba 99.9% ya Wanawake wengi popote pale duniani hupenda kuwa na ama Mahusiano au Kuolewa na Wanaume ambao Kimaumbile / Kimuonekano wanafanana na Baba zao wa...
Habari wakuu
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto, huyu mwanamke ni muajiriwa mahali flani hapa mjini, mshahara wake ni kama 800,000/= Hivi.. So binafsi Huwa kila mwezi nampa kama laki tatu to laki...
Ndugu wanaJF, Katika mizunguko yangu ya kufanya Tafiti mwaka juzi 2017 niliamua kuanza kufanya Tafiti za Baharini.
Kusema kweli duniani kuna maajabu mengi sana.
Ilikuwa ni mwezi wa Tano...
Kumekuwa na tabia ya wadada kupenda kupaka kemikali mdomoni sijui mnaita shedo au lipshine pale mnapokuwa na mtoko ili kunogesha uzuri wenu mliojaaliwa.
Mimi ninawaomba pale unapokuwa na miadi na...
Wanaume hili jambo tunalijua ila huwa hatuliweki akilini mwetu. Sisi na wanawake tupo tofauti. Muumba alituumba tofauti. Hawa wenzetu angalia hata kama una mtoto mdogo wa kike akikasirika...
Mbuzi kafia kwa muuza bucha.
Dada mmoja hivi, mkubwa kidogo kanizidi miaka miwili kwa umri. Ni mtu ambaye tumezoweana Sana katika maisha ya kawaida.
Leo
Ameniomba nimsaidi kumkwangua genye zake...
Wanajamvi iko hivi.
Kipi ni sawa kati ya hivi
Umeanza mahusiano na mkaka au dada umekaa naye kwenye mahusiano toka miaka ya nyuma au wewe ndio mtu wake wa kwanza yaani kubikiriana then unamuoa...
Wadau,
Niko kwenye mchakato wa kudivorce na nimehamishiwa hapa Dar kikazi, natafuta msaidizi wa kazi za nyumbani aliye makini ambaye anaweza akasaidia pia kazi anazofanya mke akiwa nyumbani...
Yes, as the title says....what would you, ladies, prefer?
It can be not a mind boggling thing to some of us here, but I request your preference should you find it useful to share.
What would you...
Daaaah wanawake wengine bhana
Mwanzoni mwa mwezi huu nikiwa safarini mkoa flani nikakutana na binti kwenye gari tukakaa siti moja
Ghafla tukazoeana sana hadi ikafikia hatua tukalala wote kule...
Habar wakuu ,
Daah leo nataka tu share faida na hasara na kufanya tendo la ndoa kila sku
Binafsi nimekua mfuasi wa daily sex siwez kukosa hata sku moja bila ya sababu zisizoepukika
Wazungu...
Hello guys
Huyu mdada (sio malaya anaejiuza) nlikutana nae club ambayo huwa ana mtindo wa kwenda na rafiki ake wa kike, kama kawaida yangu mende nikatia swaga nikachukua namba, na haya ndo...
Nilikuwa napenda sana ngono,kila demu hilikuwa natembea nae,uasherati haukunichelewesha,nikiwa na umri wa miaka 15,niliugua gono la hatari.
Yaani miji na rafiki yangu mmoja sasa ni...
Soma hii uelewe... [emoji1607]
Haina maana kuwa ukijihami kuwa tayari una mtu ndio itasaidia wewe kumpata mtu sahihi na mwenye mapenzi ya kweli, ila huenda ikawa njia rahisi zaidi ya kumpata mtu...
Habari zenu wakuu!!
Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo inatokana na jambo linaloonekana ni hulka au tabia za kina mama wa kambo ambao siku zote wamekuwa mshale wa mateso kwa watoto...