Haswa Inawezekana ila akiamua yeye mwenyeweinawezekana mwanaume mwenye tabia hio akaacha?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtunuku ataacha tu dada.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Inategemea uhuni ganiinawezekana mwanaume mwenye tabia hio akaacha?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Inategemea uhuni gani
Huo ni urijali sio uhuniwa kuwa na wanawake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ili mradi hajawabaka, kuwa na wanawake sio uhuni bibie...wa kuwa na wanawake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Word tofauti na hapo unajichimbia kaburi na kuingia we mwenyewe wafwaaaa
Acha kupotosha maandiko pia hakuna mahali maandiko yanasema mwanaume kuwa na wanawake wengi ni urijali labda uyalete hapa kama ushahidi wako
Kwani maandiko lazima yawe hayo unayoyajua wewe?Acha kupotosha maandiko pia hakuna mahali maandiko yanasema mwanaume kuwa na wanawake wengi ni urijali labda uyalete hapa kama ushahidi wako
Sent using Jamii Forums mobile app