Niliugua gono kwa mara ya kwanza,nikiwa na miaka 15

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
2,843
2,000
Nilikuwa napenda sana ngono,kila demu hilikuwa natembea nae,uasherati haukunichelewesha,nikiwa na umri wa miaka 15,niliugua gono la hatari.
Yaani miji na rafiki yangu mmoja sasa ni mchungaji,tulikuwa tunatembea kila mahali,stendi,kwenye mabaa ya pombe za kienyeji kutafuta wanawake.
Siku moja nilipata limama la kunizaa,tena hata chupi halivai bali lilijuwa limevaa,kaptura ya kushonesha,tukafanyia kwenye machaka,kesho yske mida saa 6,nilikuwa navuja usaha wa hatari,nilienda kumwambia baba yangu,akanipeleka hospitali nikachomwa sindano mbilimbili kwa siku kwa siku 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom