ukipiziUpendo wa Mungu sasa hapo umeuonjaje!!!
Hiyo sala ni ya kijinga zaidi!.. Lakini naomba kuiona vinci.kuna sala fulan nilikua nayo.
ilikua inaitwa SALA KWA WAPUMBAVU WA AFRIKA. humu tulitukanwa sana kuhusu ujinga wetu waafrika kutokumjua Mungu na kutumikia mizimu + uchawi. Natamani niiaplodi hapa
Babu Asprin hii sala inakuhusu kabla na baada ya kumkunja bibi yangu Sky EclatMkawe na maandalizi mema kuelekea wikendi. Msisahau kusali leo kabla na baada ya tendo!..
View attachment 797029
(Mama mchungaji wangu sijamuona siku ya pili humu)