Naona kila dalili ya kupigwa mzinga, nijibu vipi kwenye hii conversation?


makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
13,199
Points
2,000
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
13,199 2,000
Kanali gani unakuwa mzembe hivyo, halafu siku hizi wanaume tunapungua kwa kasi ya umeme sasa ishu km hii ndio ya kuanzishia uzi kweli.. Wakati mwingine kuwa serious, vibomu haviepukiki kwenye mahusiano we pambana navyo tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,283,439
Members 493,679
Posts 30,789,639
Top