Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Wadau,
Kuna kajitabia rafiki yangu analalamika kuhusu demu wake, anasema demu wake anawaogopa sana wafanyakazi wenzake na anawachukulia umuhimu sana kushinda hata mchumba wake.
Anasema anaweza kwenda kiwanja na mpenzi wake, akafu mpenzi wake akawa busy kuwanyenyekea wafanyakazi wenzake huku akimwacha mpnz wake mezani mwenyewe.
Au unakuta anaongea nae kwenye simu simu nyingine ya mfanyakazi mwenzake ikaingia yaani hata kama wanaongea jambo la muhimu atakata hiyo simu ili aongee na mfanyakazi mwenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app