KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,938
- 9,452
MADEMU WA MITANDAONI.
1. Ukimwambia mambo anaitikia kwa herufi *p* na *k*
2. Ukimuomba picha anakwambia *"wew mbona hujantumia"*[emoji23] 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu mengine ni uvivu kutype[emoji28]
4. Ukimwambia tufahamiane anasema anza wewe na ukimaliza ili yeye aanze bas anakuwa offline[emoji13]
5. Kawaida yao huwa hawaanzi kukutafuta hewani hata kukupa *HI* tu usipomtafuta ndo imetoka hiyo.[emoji13] 6. Wamejijengea mawazo kuwa kila Man kwenye social sites anatafuta mpenzi tu.(hawawazii urafiki wa dhati)[emoji851] 7. Wengi hawapendi maswali na hukaa kimya ila ukiweka DP ya demu mwingine utaona txt *msalimie mkeo*[emoji38] 8. Wanapenda kujifanya wapo busy sana hawajibu txt ila ukimuadd kwenye magrup ya mapenzi wanashinda wanapost tu comments[emoji23]
9. Mnajuana leo kesho anakuomba elfu kumi ana shida nayo sana [emoji23] (maboya yanakamatwa)
10. Ukifanikiwa kupendwa na hawa madem atakuja kwako kwa nauli yake ila kama ndo umemtokea akakubali basi andaa nauli ya kuja kwako[emoji23]
11. Mwisho wanaamini hakuna mwanaume wa ndoa anayepatikana mtandaoni (wote ni wachakachuaji tu)[emoji28] .....[emoji1483] huwa najiuliza hivi kuna dunia inaitwa *mtandaoni* ??! kwamba watu waliopo humo sio hawa wa hii dunia! [emoji23][emoji23]
......
[emoji23][emoji23]
Je unataka kuijua mitandao spesho kwa kupata wachumba??
(Mie sijui )[emoji2813]
************by Sandra Bernard[emoji379][emoji1516] WA instagram
Sent using Jamii Forums mobile app