Mlikutana wapi mkaoana?


Penologist

Penologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
279
Points
500
Penologist

Penologist

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
279 500
Tulikutana kwenye kilabu cha pombe za kienyeji mataputapu,kilicho nivutia ana mkia wa hela yote kama wa miss vanga,tumefunga ndoa ya mkataba wa maneno na imesha vunjika.
 
mangi Lemule

mangi Lemule

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
752
Points
1,000
mangi Lemule

mangi Lemule

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
752 1,000
Mimi wa kwangu nilimwona mtoni maji yakimpeleka ,nikamuokoa kwenye maji na kumpa huduma ya kwanza baadae nikaona ni vyema nikwende nae ndani kwangu kumpa huduma ya kwanza vizuri zaidi ,ilivo fika jioni jioni akaniambia anataka aende kwao ,nikamwambia hapana bado sijaridhika na afya yako endelea kupumzika tu kwanza ,(nilijipa udaktari kabisa).Usiku huo nikalala nae kitanda kimoja bila mtu kujua pale nyumbani, asubuhi ndo walisikia sauti ya mwanamke ndani kwangu na kunibananisha ,niseme ni nani yupo huko , nikajikaza nikasema nimeowa,, wakarecha wewe

Baadae wazee wakaenda kwao kwa binti kusema kuwa "kuna mtoto wenu tumemuona kwetu hatujui kafikaje "Hoi na hoi lyuhoriane kyindo kyisie kipfa nyi shisdo sha wana " Hapo nikajipatia Mrembo bila jasho wala hata kuonga siku moja
 
Noel Ngiama Makanda

Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2018
Messages
397
Points
1,000
Noel Ngiama Makanda

Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2018
397 1,000
Niikutana naye bar kalewa chakari, akanitapikia nikamsaidia kumfuta na nikamsamehe. Na siku hiyo hiyo nilikula mzigo peku akapata mimba, sasa hivi tunalea mtoto wetu Mujuni.


Fake it until you own it
 

Forum statistics

Threads 1,283,439
Members 493,679
Posts 30,789,639
Top