Unakuta mtu anawapondea wanaume wanakuja wanaume wengine wanadai kuomba mechi hivi mpogi serious??
Nashangaa hujawahi kuniona halafu unaomba mechi kweli??
Hii inakuwaje naombeni mnijuze.
Naitwa
XXX nina miaka 24 nipo iringa.miezi
kama miwili iliyopita kuna demu
nilikuwa napiga nae story PM
akasema yupo dar anasoma ifm
akawa rafiki yangu mkubwa kama
unavyojua hakuna urafiki...
Yaaani ni raha sana hakuna anayeleta fujo unakuwa muamuzi mkuu. Mke na watoto wana obey rules ukiwa nyumbani kila kitu kinakuwa under control. Nyie mnaotaka haki sawa endeleeni kupika na kuosha...
Iv kwa nn dem aliekua anakupenda sanaa baada ya kuachana na kumpata jamaa mwingine ukiamua kubadili utambulisho na kumwita shemej huwa anazingua na kuukataa utambulisho huo?
Huyu jamaa ambaye ametoka Mbeya kwa miguu kuja Dar? Msije mkarogwa eti mumpelekee K.... Atawachakaza sana. Umbali aliotembea na huo mkoa wanaume wake wanajulikana kwa kupiga show za ukweli...
Habari wanajf.
Kichwa cha habari kipo wazi hapo.Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32.Natafuta msichana/mwanamke awe mpenzi na hatimaye awe mke wangu.Awe mrefu kiasi,asiwe kibonge,umri...
Wadau mpo?
Kuna skendo ambazo sio mpya niendelevu wanaume hawatunzi wake zao kutwa kwa michepuko.
Mtu anapokea mshahara anaenda bara kula nyama na michepuko naingine anaficha benki .
Kidogo...
Bank Officer-Mama aliyeshindwa kulipa ada ya mtoto shule anakuja kukopa pesa Bank ili alipe ada ya mtoto wewe afisa mikopo,unaomba rushwa kwa mwanamke mjane ,mwenye shida.
Mama mjane anakuahidi...
Salaam kwa wote
Leo Sina maneno mengi. Ninawataalifu tu wanaume kama sehemu ya maangalizo yaliyosisitizwa kwenye kikao chetu cha wanaume last week.
Kama wewe ni kilaza please usije ukakaa...
Wakuu nyakati hizi za magu Mambo yanaenda vizuri Sana kwani ukiwa hata na 10000 TU mtaani mademu wanakutolea macho.kwa 5000 unakula utamu na unahonga hapohapo na unaridhika.
Najua wapo watakaonidharau na kunibeza na wegine watadhani labda naleta maskhara, atc.
Lakini ukweli mimi ni mtu mzima nina akili zangu najua lipi zuri na lipi baya, upi wakati wa utani na upi...
Mwaka 2019 ulivoanza nilijiwekea kamkataba kagumu kwamba nisigegede wala kufanya masturbation kwa Siku 100. Ni maamuzi magumu maan nguvu ninazo na sina tatizo lolote, Nimeamua kujitoa kwenye...
sijui kwanini lakini utafiti nilioufanya katika maisha ya binadamu watu wengi ambao walipitia kipindi cha urafiki either tangu utotoni,chuo,shuleni n.k walipokutana walikuwa best friends au...
A man can travel for eight hours 'just to have sex with a female friend and yet, not love her. Sex makes men act as if they are in love. The eight hours travel sacrifice, gifts bought, hotel paid...
Huyu dada alikuwa mpenzi wangu alinikosea yeye, na amekuwa akinidanganya mara nyingi tu.
...leo hii kaamua kunitafuta wakati licha ya kunikosea yeye ndio alitangaza kuniacha!
sasa na mm sahizi...
Kuna mama aliifiwa na mumewe miaka takriban 20 iliyopita. Alikuwa kwenye 30’s miaka hiyo. Mume wake alimuacha na nyumba pamoja na pesa na mali za kutosha. Alisomesha watoto, alicheza harusi...
Wadau mimi sijui kwa nini sina rafiki,yani sina yule rafiki hata wa kuniipigia simu kuniambia oy safuher twende seheumu flani tukatembee,au safuher nina shida hii na ile nipe mawazo.zaidi tu wazee...
Mara nyingi wanaume tunapoangalia mwanamke alivyovaa tunajumlisha siyo tu anavyoonekana au nguo ilivyomkaa bali pia nguo yenyewe ilivyokatwa, urembo na nakshi mbalimbali n.k Tunapoangalia vazi la...