Wahenga ninawakumbusha tu HIV ipo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Kuna mama aliifiwa na mumewe miaka takriban 20 iliyopita. Alikuwa kwenye 30’s miaka hiyo. Mume wake alimuacha na nyumba pamoja na pesa na mali za kutosha. Alisomesha watoto, alicheza harusi, sasa amebaki nyumbani mwenyewe na house boy.

Amepata boy friend yuko kwenye 40’s hivi, mama amenogewa na penzi. Baadae alikuja kugungua mpenzi alimpendea hela, kwani mama alikuwa na vitega uchumi vya kumwaga. Kuanzia nyumba za kupangisha na bed and breakfast.

Sasa mama ameshikwa na Homa kali ghafla, kwa taratibu za hospitali aliyofika wagonjwa wanapimwa kila kitu ili kurahisisha tiba. Mama amekutwa HIV+ akiwa 57yrs.

Ana haha jinsi ya kuwafahamisha wanae.
 
Kuna mama aliifiwa na mumewe miaka takriban 20 iliyopita. Alikuwa kwenye 30’s miaka hiyo. Mume wake alimuacha na nyumba pamoja na pesa na mali za kutosha. Alisomesha watoto, alicheza harusi, sasa amebaki nyumbani mwenyewe na house boy.

Amepata boy friend yuko kwenye 40’s hivi, mama amenogewa na penzi. Baadae alikuja kugungua mpenzi alimpendea hela, kwani mama alikuwa na vitega uchumi vya kumwaga. Kuanzia nyumba za kupangisha na bed and breakfast.

Sasa mama ameshikwa na Homs kali ghafla, kwa taratibu za hospitali aliyofika wagonjwa wanapimwa kila kitu ili kurahisisha tiba. Mama amekutwa HIV+ akiwa 57yrs.

Ana haha jinsi ya kuwafahamisha wanae.
Je kama Mumewe ndie aliemwachia huo UKIMWI??maana kuna wengine virus vinajificha kwa miaka mingi tuu.kuna mtu alikaa bila dalili kwa miaka 15,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom