Safari yangu ya siku 100 bila ngono wala punyeto

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Mwaka 2019 ulivoanza nilijiwekea kamkataba kagumu kwamba nisigegede wala kufanya masturbation kwa Siku 100. Ni maamuzi magumu maan nguvu ninazo na sina tatizo lolote, Nimeamua kujitoa kwenye mahusiano kwa hizi siku 100 na kupotezea kabisa vitu vinavyochochea fikra za kingono.

Nipo Siku ya 22 nakaribia kumaliza mwezi sijagegeda ama kumasturbate. Wiki ya kwanza nilikuwa napata shida sana na kuna kipindi nilitaka niwashe gari.

Ex girlfriend wangu alipokuja kunisalimia na tukaanza kukumbatiana na kubusiana nilitaka kushawishika ila namshukuru Mungu hodi ilipigwa mlangoni ndio ilikuwa pona yangu.

Vitu navyo experience hadi sasa ni kwamba

1. Hali ya umakini katika utendaji wa kazi umeongezeka.

2. Kwa sasa hali ya kutunza kumbukumbu imeongezeka sana na nimetumia mwanya huu kuanza kujifunza lugha mpya.

3. Wanawake nimeanza kuwaona kama marafiki ama watu wa kupiga nao stori. Kabla ya hapo wanawake wengi niliokuwa nkikutana nao nlikua naongea nao kwa nia ya kuwagonga na kama wakikataa nilikua sioni umuhimu wa kuendelea kuwa rafiki zao. Kwa sasa nmepata marafiki wapya wa kike tunaongea kama marafiki tu japo kuna wengine nawachomolea wakianza mada za kuniharibia safari yangu.

4. Nimekuwa na Self control. Katika vitu vilivyokua vikinisumbua kucontrol ni ngono. Ngono ilikuwa inanitawala pindi navyopandwa na haja na kuniendesha akili. Kwa sasa nina furaha kwamba siendeshwi na ngono.

5.Roho yangu ina amani kwasababu nimepunguza idadi za dhambi: ni wazi kabisa watu wengi dhambi wanayongoza kuitenda ni kungonoka ukiachana na ngono iliyoruhusuwa kufanyika na wanandoa, pia katika dini ya kikristo kumwaga bao nje ya uke au kulikinga bao kwa condom ni dhambi na hata kumtamani mwanamke kingono ni uzinzi. Kwa kifupi dhambi zangu zimepungua sana kwasababu nimeachana na dhambi iliyokuwa naitenda sana.

6. Natumia muda na pesa vizuri. Kabla ya hii project nilipoteza muda mwingi na pesa ili kukidhi mahitaji yangu ya kufikicha. Nikikutana na mwanamke mwenye mapozi nilikuwa nahonga ili niweze kukidhi fasta hitaji langu la ngono na sometimes nlipoteza hela kijinga ili kununua vifurushi vya internet ili nicheki video za ngono, Muda pia nilipoteza sana katika kuhakikisha nakidhi mahitaji yangu ya ngono.

7. Nimeanza kusoma vitabu. Kuna muda nilikuwaga natumia kufuatilia vitu vya ngono. Sasa hivi huo muda nautumia kusoma vitabu. Jamani vitabu ni muhimu sana kuliko hata filamu.

8. Nguvu za mwili zimeongezeka. Huenda ikawa kwa sababu ngono ya mara kwa mara hudhoofisha mwili.

9. Natumia mda mchache kulala ili kuondoa uchovu, Naamka mapema nikiwa sina hata chembe ya uchovu...kabla ya hii safari nlikuwa nalala sana, nilikuwa naamka bilaa kuoenda kwasababu ya uchovu ...kwa sasa masaa sita yananitosha kabisa kuondoa uchovu tofauti na hapo nyuma nlipokua nalala siku ya jumamosi masaa nane ili niamke bila uchovu

10.Nimeongeza interaction na Jamii: Nlivyoanza hii safari nimeongeza kiwango cha kushiriki viwanja vya mazoezi, kanisani, kujumuika na vijana wenzangu kwenye vijiwe, n.k kabla ya hapo sikushiriki kikamilifu hizi shughuli kwasababu muda mwingi wa mapumziko ulitumika kutafta mademu, kufanya sex na hata nikawa nakatalia wageni kuja kwangu nlipokua nimeleta chombo ndani hio Siku,

MREJESHO

Safari iliishia siku ya 68 baada ya kuvunja amri na binti wa kipemba

Kwa wakati huo nilipokua nikijiizuia kuanzisha mahusiano ya kimapenzi, hali ilikua tofauti kwa sababu binti ndiye aliyetumia nguvu kubwa kuanzisha mahusiano maana licha ya kuwa nunda kwa kile kipindi Huyu binti alipangua mashuti ya ununda wangu na kufanikiwa kunivaa

Sitaingia kwa kina sana ila hio siku ya 68 huyo binti ilibidi nimuonehse urijali wangu kwasababu alianza kuniona mwanaume wa ajabu
 
Chanzo kikubwa cha tamaa ya ngono ni macho mzee: The movies you watch, The music entertainment. Mimi nakushauri tu, TRAIN YOURSELF NOT TO LOOK....Anapita mdada na kinguo, don't look. Anakaa kihasara hasara, don't look. Sisi wanaume ni visualisers, ndivyo tulivyo aisee, tukishaona kitu basi kutoka kichwani ni ngumu mpaka tuchimbe zaidi.......

Good luck in this endeavour mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo kikubwa cha tamaa ya ngono ni macho mzee: The movies you watch, The music entertainment. Mimi nakushauri tu, TRAIN YOURSELF NOT TO LOOK....Anapita mdada na kinguo, don't look. Anakaa kihasara hasara, don't look. Sisi wanaume ni visualisers, ndivyo tulivyo, tukishaona kitu basi kutoka kichwani ni ngumu mpaka tuchimbe zaidi.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema macho hayana pazia
 
Mkuu hilo zoezi kulianza mwezi huu wa January hua ni rahisi sana maana huu mwezi unakuaga na mafrastuesheni kibao yaani hata hio hamu ya kuduu hua inakata.
Kimbembe kitaanzia mwezi ujao na ukiweza kutoboa February yote nakuhakikishia mpaka mlango wako wa sita utafunguka.

Maendeleo hayana chama
 
Sina frustration mkuu, ikumbukwe hili sio jaribio la kwanza, Nina experience ya kutosha....Anyway lolote linaweza kutokea
 
Yaani siku 22 ndo unaanza kujisifu?
Nakupa siku 7 tu utakuwa umebaka kuku wa mwenye nyumba au kupiga nyeto bao nane kwa siku mpaka upinde mgongo.!
Chezea nyege wewe
Mwaka 2019 ulivoanza nilijiwekea kamkataba kagumu kwamba nisigegede wala kufanya masturbation kwa Siku 100. Ni maamuzi magumu maan nguvu ninazo na sina tatizo lolote, Nimeamua kujitoa kwenye mahusiano kwa hizi siku 100 na kupotezea kabisa vitu vinavyochochea fikra za kingono.

Nipo Siku ya 22 nakaribia kumaliza mwezi sijagegeda ama kumasturbate. Wiki ya kwanza nilikuwa napata shida sana na kuna kipindi nilitaka niwashe gari.

Ex girlfriend wangu alipokuja kunisalimia na tukaanza kukumbatiana na kubusiana nilitaka kushawishika ila namshukuru Mungu hodi ilipigwa mlangoni ndio ilikuwa pona yangu.

Vitu navyo experience hadi sasa ni kwamba

1. Hali ya umakini katika utendaji wa kazi umeongezeka.

2. Kwa sasa hali ya kutunza kumbukumbu imeongezeka sana na nimetumia mwanya huu kuanza kujifunza lugha mpya.

3. Wanawake nimeanza kuwaona kama marafiki ama watu wa kupiga nao stori. Kabla ya hapo wanawake wengi niliokuwa nkikutana nao nlikua naongea nao kwa nia ya kuwagonga na kama wakikataa nilikua sioni umuhimu wa kuendelea kuwa rafiki zao. Kwa sasa nmepata marafiki wapya wa kike tunaongea kama marafiki tu japo kuna wengine nawachomolea wakianza mada za kuniharibia safari yangu.

4. Nimekuwa na Self control. Katika vitu vilivyokua vikinisumbua kucontrol ni ngono. Ngono ilikuwa inanitawala pindi navyopandwa na haja na kuniendesha akili. Kwa sasa nina furaha kwamba siendeshwi na ngono.

5. Natumia muda na pesa vizuri. Kabla ya hii project nilipoteza muda mwingi na pesa ili kukidhi mahitaji yangu ya kufikicha. Nikikutana na mwanamke mwenye mapozi nilikuwa nahonga ili niweze kukidhi fasta hitaji langu la ngono pia nilikuwa napoteza muda kijinga sana.

6. Nimeanza kusoma vitabu. Kuna muda nilikuwaga natumia kufuatilia vitu vya ngono. Sasa hivi huo muda nautumia kusoma vitabu. Jamani vitabu ni muhimu sana kuliko hata filamu.

7. Nguvu za mwili zimeongezeka. Huenda ikawa kwa sababu ngono ya mara kwa mara hudhoofisha mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom