Kuendesha familia kidekteta kuna raha yake..

Sasa ndio nini watoto wakisikia honi ya gari kila mtu anakimbilia chumbani?

Raha ya kulea uwe peace na watoto wako,hiyo itasaidia wao kukueleza matatizo yanayowakuta katika maisha yao
Kuogopwa raha sana. Ukiwa peace mitoto inakuwa mizezeta
 
Je ukiwa haupo nyumbani vitu vinakuwaje
Yaaani ni raha sana hakuna anayeleta fujo unakuwa muamuzi mkuu. Mke na watoto wana obey rules ukiwa nyumbani kila kitu kinakuwa under control. Nyie mnaotaka haki sawa endeleeni kupika na kuosha vyombo.
 
Naam!

Hakunaga demokrasia katika masuala ya kuendesha familia.. Lazima uwe MKALI ili heshima na utii uwepo.. Hii ni principle inayotumiwa hata na Mungu baba. UKALI!

UKALI unasaidia pia kuwajenga watoto kujiandaa kukabiliana na changamoto za kweli za maisha. Dunia haina huruma!

Kwa bahati nzuri, unaweza ukawa MKALI na bado ukaonesha mapenzi mazito kwa familia yako!
 
Usimuingize MUNGU kwenye ujinga.
 
Huo ni ukoloni. Ukali namuachia mke wangu, mie ntakuwa mtetezi wa wanyonge ndani ya nyumba wakishakoromewa. Mama watoto wangu mtarajiwa ana vinasaba vyote vya mwanamke mkali!

I just want to be a guardian not a dictator type of father. Ntawaweka vijana on de raiti tiraki tu na kuwafunza kujiamini and speak their mind whenever neccessary ili waweze kujiongeza sio kuwatisha tisha.
 
Tusidanganyane mkuu binadamu hachungwi kama unavyotutaka tuamini. Wengi tumesoma na watoto wenye wazazi wakali ila tunajua walivyo watukutu wakitoka nyumbani. Pia wake za hao wanaojifanya bandidu ndiyo baadhi yao huwa na mahusiano ambayo mume hatakaa ajue kwa sababu hana connection na familia yake wala majirani.

Leo hii nina mifano ya watoto ambao baada ya kujitegemea hawataki hata kurudi kusalimia nyumbani kwa sababu tu hakuna cha kujadili na mzee kwani muda wote walikimbizana kama paka na panya.

Ipende familia yako ukijifanya simba dume kuna siku hao puppies wakikua watakutenga.
 
Zipo familia pia ambazo wamelelewa kwa upole na bado hizo tabia ulizozitaja zipo.. Even worse..

Upole upole ndio utashangaa siku mwanao wa kiume anamleta bwana ake nyumbani kumtambulisha tena kwa confidence ya hali ya juu.

Again, upole na ukali sio kipimo cha upendo au chuki. Unaweza kuwa mkali na bado ukawa na upendo wa kutosha tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom