Wanaume mliooa kumbe mko hivi?

Wanaume mliooa kumbe mko hivi?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Wadau mpo?

Kuna skendo ambazo sio mpya niendelevu wanaume hawatunzi wake zao kutwa kwa michepuko.

Mtu anapokea mshahara anaenda bara kula nyama na michepuko naingine anaficha benki .

Kidogo sana anampa mke wake na anamwambia bajetia hii ndio ya mwezi huu.

Kila kukicha anampiga mkewe watoto hawana nguo za shule na wala hawali vizuri baba yao ndio hivyo kazi kuwapa vinono malaya hii ni hali mbaya.

Mke wake ananuka jasho hana sabuni hana nguo nzuri mkifanya ziara zakutembelea majumbani mwao mtazimia wanawake zao wamechoka maisha.

Mwingine hana jicho mwingine anaogopa mpaka hajitambui.

Wanaume zao wameishia kwenye uzinzi hadi aibu.

Ada hawajalipa wala nini .
Mama ndio adange aje awape.
Mlo wanakula mara 3 siku ambayo imetokea riziki labda mtu aje anayewafahamu ndio awafanyie ka shopping mtoto wako anakunywa chai bubu na magimbi wewe na huyo hawara yako mnakula mbuzi na vinono.
Yaani maisha ni tete.

Kuolewa ni dili ila wanaume sio mtu mkishakuwa na familia anaenda kwa malaya.

Namateso ndio yanaanza msitese wenzenu kama haupo tayari basi acha .
Usikubalie kuleta malaika wadogo ukaja kuwa tesa jua familia yako ni majukumu yako suo unaenda kulisha double malaya halafu unasema majukumu ya nyumbani ni mama na baba wanasaidiana ili ubakize hela za malaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo una nyege za kuua mtu! Ovulation inakusumbua
 
Unge specify wanaume wa aina gani.. maana tumetofautiana tabia.. aina ya maisha.. uchumi. N.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hayo yapo tunayaona mitaan ila baadhi ya wanaume hawajitambui kabisa wabadilike,harafu waendako huko wanachukua ya kuyachukua wanawaletea ndan wake zao( maradhi) mama Wa watu katulia nyumban hela aachiwe ndogo na janga juu kuletewa ndani
 
Na baba yako alikua hv au yeye hakuoa??
Wadau mpo?
Kuna skendo ambazo sio mpya niendelevu wanaume hawatunzi wake zao kutwa kwa michepuko.
Mtu anapokea mshahara anaenda bara kula nyama na michepuko naingine anaficha benki .
Kidogo sana anampa mke wake na anamwambia bajetia hii ndio ya mwezi huu.
Kila kukicha anampiga mkewe watoto hawana nguo za shule na wala hawali vizuri baba yao ndio hivyo kazi kuwapa vinono malaya hii ni hali mbaya.
Mke wake ananuka jasho hana sabuni hana nguo nzuri mkifanya ziara zakutembelea majumbani mwao mtazimia wanawake zao wamechoka maisha.
Mwingine hana jicho mwingine anaogopa mpaka hajitambui.
Wanaume zao wameishia kwenye uzinzi hadi aibu.
Ada hawajalipa wala nini .
Mama ndio adange aje awape.
Mlo wanakula mara 3 siku ambayo imetokea riziki labda mtu aje anayewafahamu ndio awafanyie ka shopping mtoto wako anakunywa chai bubu na magimbi wewe na huyo hawara yako mnakula mbuzi na vinono.
Yaani maisha ni tete.
Kuolewa ni dili ila wanaume sio mtu mkishakuwa na familia anaenda kwa malaya.
Namateso ndio yanaanza msitese wenzenu kama haupo tayari basi acha .
Usikubalie kuleta malaika wadogo ukaja kuwa tesa jua familia yako ni majukumu yako suo unaenda kulisha double malaya halafu unasema majukumu ya nyumbani ni mama na baba wanasaidiana ili ubakize hela za malaya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mpo?
Kuna skendo ambazo sio mpya niendelevu wanaume hawatunzi wake zao kutwa kwa michepuko.
Mtu anapokea mshahara anaenda bara kula nyama na michepuko naingine anaficha benki .
Kidogo sana anampa mke wake na anamwambia bajetia hii ndio ya mwezi huu.
Kila kukicha anampiga mkewe watoto hawana nguo za shule na wala hawali vizuri baba yao ndio hivyo kazi kuwapa vinono malaya hii ni hali mbaya.
Mke wake ananuka jasho hana sabuni hana nguo nzuri mkifanya ziara zakutembelea majumbani mwao mtazimia wanawake zao wamechoka maisha.
Mwingine hana jicho mwingine anaogopa mpaka hajitambui.
Wanaume zao wameishia kwenye uzinzi hadi aibu.
Ada hawajalipa wala nini .
Mama ndio adange aje awape.
Mlo wanakula mara 3 siku ambayo imetokea riziki labda mtu aje anayewafahamu ndio awafanyie ka shopping mtoto wako anakunywa chai bubu na magimbi wewe na huyo hawara yako mnakula mbuzi na vinono.
Yaani maisha ni tete.
Kuolewa ni dili ila wanaume sio mtu mkishakuwa na familia anaenda kwa malaya.
Namateso ndio yanaanza msitese wenzenu kama haupo tayari basi acha .
Usikubalie kuleta malaika wadogo ukaja kuwa tesa jua familia yako ni majukumu yako suo unaenda kulisha double malaya halafu unasema majukumu ya nyumbani ni mama na baba wanasaidiana ili ubakize hela za malaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndio matatizo ya akina mama, mashangazi, au madada waliofeli kwenye mahusiano kwasababu wanazozijua wao wanakaa chini na kuwahadithia mabinti wadogo ambao hata hawajaanza kujitegemea maswahibu ya kwenye ndoa zao bila kujua kwa kufanya hivyo wanapandikiza mawazo potofu na ujuzi hasi (Negative experiences) kwenye vichwa vya hawa mabinti ambao bado wana fursa ya kuanza kujifunza kuingia katika mahusiano imara na salama.

Sasa kama huyu mleta uzi kwa kumsoma tu uwasilishaji wake ni wa mtu aliyehadithiwa mambo na yeye kaja kuyatema hapa kwa namna yalivyomgusa.

Anyways ushauri wangu kwa mabinti na vijana wa kiume, ukitaka kufanya jambo lifanikiwe basi jifunze kujua faida zake kwanza na ujifunze kwa wale waliofanikiwa ila usianze kujifunza kwa walioshindwa au kufeli na kubebelea hasara walizovuna kichwani mwako, hatuendi hivyo.

Pole mleta uzi. Ila una mengi sana ya kujifunza....

Hivi humu JF kuna post yako hata moja haitulaumu wanaume... Maana huwa unalalama sana mbona wenzako wanakula maisha vizuri tu, na sio wanaume wote wapo hivyo unavyowaza, hebu jaribu kubadili mtazamo wako kwa wanaume, huyo uliokua nae atakusumbua sana kama kila jambo unaleta JF kulalama sipati oicha unaishije nae.
 
Sijamchukulia kwa lolote bali nimeona tu baadhi ya familia napia nimeona niseme tu.
Unajua kuoa lazima waoe nasisi lazima tuolewe.
Nakatika familia hazifanani ila kama ndio hali imezidi inabidi kwenye majukwa kama haya tujaribu kusema ili ya jadiliwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi humu JF kuna post yako hata moja haitulaumu wanaume... Maana huwa unalalama sana mbona wenzako wanakula maisha vizuri tu, na sio wanaume wote wapo hivyo unavyowaza, hebu jaribu kubadili mtazamo wako kwa wanaume, huyo uliokua nae atakusumbua sana kama kila jambo unaleta JF kulalama sipati oicha unaishije nae.
Nikazee kawatu jamani wala hajui kulalama licha amtese katot kazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom