Wanawake wanavutiwa na 'details' gani za suti za wanaume?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Mara nyingi wanaume tunapoangalia mwanamke alivyovaa tunajumlisha siyo tu anavyoonekana au nguo ilivyomkaa bali pia nguo yenyewe ilivyokatwa, urembo na nakshi mbalimbali n.k Tunapoangalia vazi la mwanamke kumbe tunaangalia zaidi ya kumkaa bali hata imetengenezwaje n.k Kwa upande wa wanawake mavazi kama suti ya mwanamme inamvutia kitu gani hasa mwanamke?

Yaani ukiondoa jinsi suti inavyomkaa mtu ni vitu gani vingine ambavyo mwanamke anaweza akasema moyoni suti ile ni nzuri kwa mtu wake au mtu fulani kuliko suti fulani kwa mtu mwingine? Tusaidieni!

blair-underwood.jpg

Actor Blair Underwood has created a line of men’s tailored clothing for K&G Fashion Superstore.
 
Heheheheeee mzee unataka kwenda Macy's kununua suti nini? Manake hii mida ya tax returns huwaga kuna mambo sana :lol:

aisee wamefungua a new "Suit Warehouse" hapa sasa kuna promotion inaendelea na yule jamaa amesema kuwa "you gonna like it, I guarantee it" sasa nataka nipick up the offer. Tatizo ni kuwa marra nyingi suti nimekuwa nikiangalia rangi, jina n.k Lakini shemeji yenu kaja kaniambia "suti siyo suti tu kuna details zinaangaliwa". Sasa nimemuuliza aniambie kagoma kabisa kasema niende kuchagua au ataenda kunichagulia kwa sababu yeye kama mwanamke hata suti yangu ifanane na nyingine!

Ndio imebidi niulize - wanawake mnaangalia suti za namna gani za wanaume na hapa nazungumzia suti suti!
 
Nina wasi wasi kwamba hapa mkuu kuna uwezekano wa kuuvaa mkenge...Wanawake wa JF kweli wanaweza ku-hit tastes za mama? Au una-assume tastes za wanawake kwa suits ni general!!!!

Kwa nini usimwache akachagua kwanza??

Babu DC!!
 
Wanawake huwa wanavutiwa na makalio ya mwanamme zaidi. Hii inatokana na research na si kukurupuka.
 
Back
Top Bottom