Nyox official
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 597
- 455
Iv kwa nn dem aliekua anakupenda sanaa baada ya kuachana na kumpata jamaa mwingine ukiamua kubadili utambulisho na kumwita shemej huwa anazingua na kuukataa utambulisho huo?
Huyu mariam birian n nan mku?Ngoja nimuulize mariam biriani kwanza
Lazima akatae maana inakua ni kama unafiki,hata wewe unaemuita shemeji hyo shemeji ukiitamka hauitoi moyon ya kumaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOT. Unakuta mtu anamaanisha kwel kwan yy tayar keshakuweka waz kua yuko na som one else
Akiukataa huo utambulisho huwa anaukubali upi?Iv kwa nn dem aliekua anakupenda sanaa baada ya kuachana na kumpata jamaa mwingine ukiamua kubadili utambulisho na kumwita shemej huwa anazingua na kuukataa utambulisho huo?