Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,276
Huyu dada alikuwa mpenzi wangu alinikosea yeye, na amekuwa akinidanganya mara nyingi tu.
...leo hii kaamua kunitafuta wakati licha ya kunikosea yeye ndio alitangaza kuniacha!
sasa na mm sahizi nimepata nesi wangu, najilia vyangu!
NB: Maisha ni kutumia akili, akili yako ndio maisha yako!
Sent using Jamii Forums mobile app