Na wewe huna rafiki kama mimi? Unajichukuliaje?

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
12,312
Reaction score
18,185
Wadau mimi sijui kwa nini sina rafiki,yani sina yule rafiki hata wa kuniipigia simu kuniambia oy safuher twende seheumu flani tukatembee,au safuher nina shida hii na ile nipe mawazo.zaidi tu wazee wangu na ndugu zangu ndo huniomba mawazo.

Hali hii siichukii ila nafikiria hapa nilipo ugenini na labda ikitokea naumwa watakuja kuniangalia akina nani zAidi ya mke wangu?

Kuna wakati nilipata jamaa ambaye alinikubali tu akawa anataka tuzoweane,akawa akivuna baadhi ya vyakula ananipa na mimi.ila jamaa alikuwa msengenyaji balaa,akikaa anakusimulia stori za kutwa nzima alafu za kuwasema watu vibaya.nikaona huyu hanifai saivi tunasalimiana tu na kumbe jamaa ndo tabia yake.

Mtaani kuna washkaji wanacheza bao na kelele nyingi ila mimi stori zao naona zinanichosha.watu wakikaa hawajadili mambo ya msingi watu wanajadili mademu,yule kavaa hivi na vile na mara wanakushirikisha wewe utaskia "au unasemaje safuher?".hii hali siipendi bali siku moja moja nikiona haoana watu wengi pametulia ndo huwa naenda nacheza kdogo nasepa.

Kinachoniogopesha zaidi kama nasoma kitu huwa naongea peke yangu kupima kama kimekaa kichwani au laa,au mda ungine naweza kuwa nimepamga jambo fulani ila nikiwa peke yangu naanza kuomgea nilichoplan na vile itakavyokuwa...sio wazimu unanivizia wakuu?

Sasa nawewe mwenzangu uko hivyo?

Inaweza kupita siku hujakaa kupiga stori na mtu kitaa zaidi ya kusalimiana au mpaka pale ukiwa job?

Je nini madhara ya tabia hii ya mtu kuwa peke yake peke yake?

Zipi faida zake?
Je huwenda nina tatizo?
 
Hilo la kutokuwa na rafiki mloivana hata mimi niko ivoivo.

Hilo la kuongea mwenyewe ni dalili mbaya. Unaelekea kwenye ile research ya kati ya watz 4 basi 1 ana kau-PSY.
 
Marafiki gani wengine unawataka wakati washikaji wa jamiiforum tupo Kama wote....Kama unakunywa bia nicheki kwa 0757195104 tukutane sehemu tupige mastori tule na nyama huku tukicheki mademu wakali.
 
Dah hapana mkuu sio vitu vyangu hayo mambo.
 
Hilo la kutokuwa na rafiki mloivana hata mimi niko ivoivo.

Hilo la kuongea mwenyewe ni dalili mbaya. Unaelekea kwenye ile research ya kati ya watz 4 basi 1 ana kau-PSY.
PSY ndio kitu gani mkuu?
 
Marafiki gani wengine unawataka wakati washikaji wa jamiiforum tupo Kama wote....Kama unakunywa bia nicheki kwa 0757195104 tukutane sehemu tupige mastori tule na nyama huku tukicheki mademu wakali.
Ha ha ha we jamaa.. Uko wp nikucheki!
 
Hilo la kutokuwa na rafiki mloivana hata mimi niko ivoivo.

Hilo la kuongea mwenyewe ni dalili mbaya. Unaelekea kwenye ile research ya kati ya watz 4 basi 1 ana kau-PSY.
Huoni tabu labda ile kutokuwa na rafiki?
 
Wadau mimi sijui kwa nini sina rafiki,yani sina yule rafiki hata wa kuniipigia simu kuniambia oy safuher twende seheumu flani tukatembee,au safuher nina shida hii na ile nipe mawazo.zaidi tu wazee wangu na ndugu zangu ndo huniomba mawazo.

Hali hii siichukii ila nafikiria hapa nilipo ugenini na labda ikitokea naumwa watakuja kuniangalia akina nani zAidi ya mke wangu?

Kuna wakati nilipata jamaa ambaye alinikubali tu akawa anataka tuzoweane,akawa akivuna baadhi ya vyakula ananipa na mimi.ila jamaa alikuwa msengenyaji balaa,akikaa anakusimulia stori za kutwa nzima alafu za kuwasema watu vibaya.nikaona huyu hanifai saivi tunasalimiana tu na kumbe jamaa ndo tabia yake.

Mtaani kuna washkaji wanacheza bao na kelele nyingi ila mimi stori zao naona zinanichosha.watu wakikaa hawajadili mambo ya msingi watu wanajadili mademu,yule kavaa hivi na vile na mara wanakushirikisha wewe utaskia "au unasemaje safuher?".hii hali siipendi bali siku moja moja nikiona haoana watu wengi pametulia ndo huwa naenda nacheza kdogo nasepa.

Kinachoniogopesha zaidi kama nasoma kitu huwa naongea peke yangu kupima kama kimekaa kichwani au laa,au mda ungine naweza kuwa nimepamga jambo fulani ila nikiwa peke yangu naanza kuomgea nilichoplan na vile itakavyokuwa...sio wazimu unanivizia wakuu?

Sasa nawewe mwenzangu uko hivyo?

Inaweza kupita siku hujakaa kupiga stori na mtu kitaa zaidi ya kusalimiana au mpaka pale ukiwa job?

Je nini madhara ya tabia hii ya mtu kuwa peke yake peke yake?

Zipi faida zake?
Je huwenda nina tatizo?
Marafiki wa skuhizi miyeyusho tu stay you
 
Hilo la kuongea peke yako unakaribia kuwa "Maarufu" kwa mujibu wa Ndugai.
 
Mbona tuko wengi tu wa hivyo?aisee urafiki ni mzigo japo wakat mwingine una manufaa,nawajua watu wengi tu ambao urafiki umewaponza kwa namna moja ama nyingine.mi urafiki ulianza kunishinda pale ambapo inabidi niharibu ratiba zangu ili Ku accommodate ratiba za urafiki,wakat mwingine siri zako unakuta zinavujishwa na marafiki
 
Wewe mwisho wa utafiki ni kwenda kupanga sehemu tofauti na nyumbani, hii nikawaida kwawote.
 
Back
Top Bottom