Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Huyu jamaa aliamka asubuhi na kuanza kumwagilizia bustani lake badae mkewake wa ndoa anaye ishi naye akasikia sms inaingia kwenye simu ya mumewe iliyokuwepo sebuleni, mwanamke akaisoma, sms ilisomeka hivi:
" MUME WANGU, MPENZI, JANA ULINIPA VIZURI SANA KITANDANI, NATAMANI TENA NA LEO MCHANA IWE KAMA JANA AU ZAIDI YA JANA, LEO UJE SAWA. UMEKUNYWA CHAI AU NIKUPIKIE UJE UNYWE MY HUBY. NASUBIRI JIBU SASA HIVI ILI PIA UKIFIKA UNINANILII KIMOJA TU CHA MOTOMOTO ASUBUHI HII"
Mke wa ndoa wa huyu bwana alitoka nje baada ya tu ya kusoma sms akamwambia mumewe ukimaliza kumwagilizia bustani nina maongezi na wewe, kuna kitu nimekiona kwenye simu yako. hadi sasa ni jioni ya saa 10 mwanaume hajaacha kumwagilizia mke alimuomba aende anywe chai akamwambia mpaka amalizia chakula cha mchana amekataa kula kasema hana njaa mpaka amalizie.
Ebu fikiria ingekuwa ni wewe mwanaume ungechukua hatua gani, na mdada ambaye ni mke wa ndoa je ulichokifanya ni sahihi na hata kama wewe ni yule mchepuko ulikuwa sahihi kutuma iyo mesage kwa mwanaume asubuhi na mapema.