Samsung Galaxy A8 vs iPhone 6+

Samsung Galaxy A8 vs iPhone 6+

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,027
Reaction score
2,102
Habari zenu wadau, nilikuwa natamani kumiliki iPhone kitambo...juzi nikakamilisha mpunga...nikaingia shop kariakoo ili nikatulize moyo wangu, lengo langu ni kupata iPhone 6+ mfukoni nilikuwa na Kama 750K....Cha kushangaza nilipofika shop...muuzaji akanitia sound za maana...akiwa anasifia Sana simu za Samsung kuliko iPhone... kiukweli hata mm huwa nazielewa coz hata niliyokuwa natumia b4 Ni Samsung S6 Adge, hivyo akaniambia Kama unataka simu ambayo hautojuta kuinunua nichukue... Samsung Galaxy A8 Duos ...akajaribu kunionesha baadhi ya vitu namna inavyo perfome design Kama nikamuelewa hivi ukizingatia hata baadhi ya wateja nilio wakuta pale walikuwa wanaisifia. Mzee baba nikachukua mtambo...sasa kufika home simu iko vizuri balaa... baadae mdogo wangu alivyokuja nilivyoona iPhone yake...roho ikaniuma ajabu coz ndio ilikuwa ndoto zangu...simu yake haina muda mrefu... yeye nae kaiyona yangu kaipenda hivyo anataka tibadilishane. Hapa ndio nawaza na kuwazua...nipo Dailema nimemwambia nitampa jibu kesho yani Leo....isije nikaingia Cha kike, kila muda nakumbuka Yale maneno ya muuzaji... iPhone 6+ agusi mtambo huo. Hebu nipeni ushauri wataalamu wa hizi mambo
images%20(25).jpeg
images%20(24).jpeg
 
Habari zenu wadau, nilikuwa natamani kumiliki iPhone kitambo...juzi nikakamilisha mpunga...nikaingia shop kariakoo ili nikatulize moyo wangu, lengo langu ni kupata iPhone 6+ mfukoni nilikuwa na Kama 750K....Cha kushangaza nilipofika shop...muuzaji akanitia sound za maana...akiwa anasifia Sana simu za Samsung kuliko iPhone... kiukweli hata mm huwa nazielewa coz hata niliyokuwa natumia b4 Ni Samsung S6 Adge, hivyo akaniambia Kama unataka simu ambayo hautojuta kuinunua nichukue... Samsung Galaxy A8 Duos ...akajaribu kunionesha baadhi ya vitu namna inavyo perfome design Kama nikamuelewa hivi ukizingatia hata baadhi ya wateja nilio wakuta pale walikuwa wanaisifia. Mzee baba nikachukua mtambo...sasa kufika home simu iko vizuri balaa... baadae mdogo wangu alivyokuja nilivyoona iPhone yake...roho ikaniuma ajabu coz ndio ilikuwa ndoto zangu...simu yake haina muda mrefu... yeye nae kaiyona yangu kaipenda hivyo anataka tibadilishane. Hapa ndio nawaza na kuwazua...nipo Dailema nimemwambia nitampa jibu kesho yani Leo....isije nikaingia Cha kike, kila muda nakumbuka Yale maneno ya muuzaji... iPhone 6+ agusi mtambo huo. Hebu nipeni ushauri wataalamu wa hizi mambo View attachment 1080341View attachment 1080342
Njoo nikuuzie galaxy A6+ ya 2018 check link kwa specification zake https://www.gsmarena.com/samsung_galaxy_a6+_(2018)-9156.php
samsung-galaxy-a6-plus-2018-1.jpeg
samsung-galaxy-a6-plus-2018-3.jpeg
samsung-galaxy-a6-plus-2018-.jpeg
 
Binafsi samsung kama s8+ ama note 7 na kuendelea sijaona iphone yoyote ya kuilinganisha nayo.

Majuzi nilikuwa na iphone 8, nikakaa nayo kwa masaa 3 hivi nikarudisha kwa mwenyewe.

Samsung ni hivyo tu kuwa ina watu wengi ila kiuhalisia wale wakorea ni moto mwingine.
 
Binafsi samsung kama s8+ ama note 7 na kuendelea sijaona iphone yoyote ya kuilinganisha nayo.

Majuzi nilikuwa na iphone 8, nikakaa nayo kwa masaa 3 hivi nikarudisha kwa mwenyewe.

Samsung ni hivyo tu kuwa ina watu wengi ila kiuhalisia wale wakorea ni moto mwingine.
Naamini maneno yako mkuu
 
A8 iko poa sana nimetumia muda mrefu. Balaa lilikuja baada ya kuharibika screen nikaambiwa ni 350k, nikaachana nayo nikanunua mpya.
 
Duuh! hiyo maintenance ni kubwa mno
A8 iko poa sana nimetumia muda mrefu. Balaa lilikuja baada ya kuharibika screen nikaambiwa ni 350k, nikaachana nayo nikanunua mpya.
 
Me ni Iphone tu, sitaki kusikia neno android yoyote ile, samsung naipenda tatzo ni operating system yke (os) Androids yn haiingii akilini kabisaaa
 
Me ni Iphone tu, sitaki kusikia neno android yoyote ile, samsung naipenda tatzo ni operating system yke (os) Androids yn haiingii akilini kabisaaa
Android kwako ina matatizo gani zaid? Kwa upande wako?
 
Natumia zote mbili na binafsi naona iPhone nzuri zaidi lakini ifahamike kuwa hiyo uliyonayo ukiizoea halafu ukatumia nyingine ukaona inakuchanganya lazima uiponde tu
 
Natumia samsung A7 2018, kwa kweli sijuti na naenjoy sana. Hata nikienda kijijini 3g inapanda fresh
 
Android kwako ina matatizo gani zaid? Kwa upande wako?

Kwanza kabisaa kwa uzoefu nilio nao wa androids Asilimiaa 80 ya simu hazina specification halisi, kwa mfano unaeza ukaambiwa labda simu fulan ya android ina ram gb 4 lakini baada ya kutumiaa labda miez au mwaka unashangaa inaanza kustuck pamoja na ukubwa wote wa ram, ila 1 gb ram ya iphone sijawah kuona ikistak ata kidogo, upande mwingine ni kwenye suala la security, Pia kitendo cha Operating system yake kufanana na simu zingine kama tecno kinanikera , ila kwa Cameraaa Samsung wako vizur kuliko iphone,(Iyo ni kwa mtazamo wangu)
 
Kijana tumia I phone kama unaelewa sim,,android smartphone ni za kina bimkubwa
 
Broh! Em acha kufananisha iphone na vitu vya ajabu. Apple kawazidi hao wengine kuanzia ubora wa operating system, security mpaka status!! Karibu kwenye ulimwengu ambao hutakaa uone msg “android has stop working” Af simu yako inastack.
 
Back
Top Bottom