Ukweli kuhusu maisha halisi ya mwanamke

Ukweli kuhusu maisha halisi ya mwanamke

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,139
Reaction score
12,913
1. Mwanamke anapenda na kutamani kama mwanaume.

2. Mwanamke yuko juu kuliko mwanaume, ndio maana amedhoofishwa kwa kuaminishwa kuwa yuko chini ya mwanaume ktk dini, tamaduni, jamii n.k mfano kufunika uso kama ninja ili asitamaniwe

3. Mwanamke huandaliwa tokea akiwa mtoto mdogo kuja kumtumikia mumewe, wakati huo mwanaume huandaliwa kuja kummiliki mwanamke kama kiwanda cha kumzalishia watoto.

4. Mwanamke anafundishwa tokea akiwa mtoto mdogo kumtegemea mwanaume. Hata apate kazi yenye malipo ya Tsh milioni mia moja bado ataomba pesa kwa mwanaume.

5. Mwanamke huishi kwa kutafuta mwanaume mwenye sifa kama za baba yake, ukimuoa akipata mtu mwenye sifa za baba yake ambazo wewe huna atachepuka tu cycle huendelea.

6. Mwanamke ni kiumbe huru kama alivyo mwanaume, kuamini kwamba atakuwa na mwanaume mmoja unajidanganya, nature haipangiwi.

7. Mwanaume hutaka kumfanya mwanamke mtumwa, hufanikiwa siku chache baadae mwanamke hutaka kuwa huru kwa sababu si asili yake kuwa mtumwa, ugomvi huibuka.

8. Ndoa ni utumwa utake usitake ndoa ni kifungo ukiingia jiandae kuishi kama gerezani.

9. Mwanaume ni kama askari magereza mwanamke ni kama mfungwa katika ndoa, hivyo basi kuishi kwa amani ni kitu ambacho hakiwezekani.

Tunaishi katika mfumo mbovu tunahitaji uhuru na mabadiliko ndani yetu.
 
Na wewe mwanamke na degree yako kwanini uvae wigi? Kwanini uweke kucha za bandia ? Huo ni mtego mliowekewa ili muishi kwa kutokujiamini.
 
Mwanaume muache mwanamke aishi atakavyo, akichepuka mruhusu akaolewe Mara ya pili na huko akichepuka aruhusiwe tu... Cycle iendelee hivyo hivyo tutaishi maisha marefu, hakuna mahusiano ya milele, narudia tena hakuna mahusiano ya milele, mahusiano ya milele ni unafiki.
 
Science imeprove nani yupo juu ya mwenzake?

Wakina sir Newton,Galileo,Louis Pasteur, Charles Darwin, Albert Einstein,Otto hahn wanyamaaaaaaa wakina Nicole Tesla, Aristotle, Faraday, Mendeleev enzi hizo wanafanya vikao vyao hawakutaka sio tu mwanamke auzuliwe vikao vyao Basi hata kuwa mhudumu tu waku wakuhudumia maji ya Kilimanjaro..

Mwanamke Ni chanzo Cha uhai hiyo Ni heshima kubwa sana na ibakie hivyo milele na milele.
Ukija na hoja za mwanamke Ana akili kuliko mwanaume au yupo juu ya mwanaume basi tunakuwa tunawatukana wazee,magwiji,ma-guru,mababu walioleta mwanga kwenye hii dunia.

Namalizia kwakusema pole najua mapenzi yanakutesa ndo Mana umekuwa mwanafilosofia
 
Science improve nani yupo juu ya mwenzake?

Mwanaume anapokuwa mwanaume mwanamke lazima akimbilie jikoni haraka
 
Hakuna anayeteseka isipokua nataka niwasaidie watu waishi kwa amani,

Wewe hapo ulipo umefundishwa kua utaoa mwanamke na kumuamulu atakavyo, utamfanya awe mtumwa wako na yeye kafundishwa kukutii, hapo atafanya lipi la maana zaidi ya kukutegemea kifikra na kiuchumi ?

Hii ni tangu hata hao akina Newton hawajazaliwa. Hao nao wamelelewa kwa misingi kama uliyolelewa wewe,

Miaka ya zamani China mwanaume aliruhusiwa kumuua mwanamke kwa sababu mwanamke ni Mali ya mwanaume,
Baadae wakapiga marufuku

Mwanamke ni zaidi ya ujuavyo
 
Mwanaume anapokuwa mwanaume mwanamke lazima akimbilie jikoni haraka
Huu ndio mfumo mbovu ninao uzungumzia, mwanamke anafundishwa kua mtumwa wa mwanaume tangu akiwa mtoto mdogo, na anafundishwa kumtegemea mwanaume, hivyo basi ukiombwa pesa usiwe unalalamika,

Pia mwanaume anapenda mwanamke ambaye anafanana na mama yake kitabia na majukumu, mfano apikiwe, afuliwe ahudumiwe n.k hawa ndio mnao waita wife material lakinj ukichunguza vizuri tunaishi ktk mfumo mbovu
 
Back
Top Bottom