Penzi kitovu cha uzembe

Penzi kitovu cha uzembe

Tainya

Senior Member
Joined
Feb 21, 2016
Posts
178
Reaction score
92
Habar za humu jaman

Hiki kitabu nlikisoma kipind nipo secondary but sikutilia maanani jina la hii tamthilia

Ila nimekuja kusadiki kuwa lile jina la kitabu litaishi miaka yote dunian

Jana nlitakiwa kuhuzuria kipind ambacho j4 ninamtihani wake ila kuna manzi akaniahid anataka kunipa penzi so nkajikuta naahirisha kipind nkaenda kwa huyo demu so leo kila nkiangalia past paper sioni cha kufanya ndo hapa nikakumbuka kile kitabu nlichosoma secondary

Kama na ww mdau yameshakukuta kama haya tunaweza kushirikiana kupeana ushauri
 
Kwao wameuza ng'ombe ili wasomeshe ng'ombe nyingine, alaf anacheza1
Na bado unapoteza muda humu badala ya kutafuta solutions za hizo past papers kwa wenzako

Wewe ni mzembe by nature usisingizie penzi
 
Mkuu naufanyia kazi ushauri wako
 
Ndugu yangu miaka kadhaa nyuma ilikuwa kidogo ni- carry course fulani hapo Chuo Kikongwe kwa sababu ya penzi!
Mtoto katoka Arusha, akafikia Mbezi kwa kaka yake, akanicheki jioni kuwa atakuwa free siku inayofuata na bahati mbaya na mimi nilikuwa nina test ya lecturer fulani hivi, mzee mkuda balaa! Nikaona nitatatafuta sababu ya kutofanya test ili nikale good time na Getu wangu.
Mtoto akakubali tukutane lodge, nikapiga hesabu lodge ya karibu nikaamua tukutane mlimani city kisha tukapumzike kwenye lodge zilizopo upande wa pili pale nyuma ya Mlimani city tower(Haikuwepo kipindi hicho)
Nikakutana na G wangu, tukaingia lodge tukafanya yetu; kufika mchana mtoto ananiambia anaomba tulale pamoja usiku huo maana ameaga kuwa atalala kwa rafiki yake na kaka amempa ruhusa. Nikakosa test ya siku hiyo na test ya siku ya pili yake maana nakumbuka tuliamua kukata siku mbili pale.
Niliporudi chuo licha ya Class representative kumjulisha Lecturer kuwa nina udhuru jamaa akakomaa.
 
Pole sana ndugu
 
nipe namba ya huyu demu mkuu

Back
Top Bottom