Mbona siku hizi sitii mimba?

Mbona siku hizi sitii mimba?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Sijui ni mkosi au ndio vile nguvu zimeshaanza kuisha, utakuta niko na demu mkali kila nikitamani kumtia mimba ili nipate angalau katoto mwisho wa siku anaishia kuniomba hela ya pedi,

Nawinda winda nimfume ata single mother mwenye makininika yake nimtwishe na mimi lakini bado na yeye ataishia kuniomba hela ya pedi,

Wakuu ebu nipeni mbinu/Maujuzi ya kuwatia mimba hawa viumbe hivi mimi Zero IQ Nakwama wapi?

Au hii freequency ya kuwala wala inapunguza uwezekano wa kumtia mtu mimba?
 
Navyojua anayepanga mimba itokee sio mwanaume bali mwanamke

Mimi ndio naweza kusema leo naenda kupata mimba ila sio wewe useme unaenda kumpa mimba....ni either apange yeye kupata ama ubake

So kama unataka mtoto mwambie mwanamke wako apange siku
 
Mkuu tunaomboleza mkuu!Na tunasubiri report ya uchunguzi ili umbeya upungue.Na Prof Janabi keshagusia alivyokuwa anamtibu Mzee wetu.Ebu tutolee huu upuuzi
 
Navyojua anayepanga mimba itokee sio mwanaume bali mwanamke

Mimi ndio naweza kusema leo naenda kupata mimba ila sio wewe useme unaenda kumpa mimba....ni either apange yeye kupata ama ubake
Nipe mbinu sasa nifanyaje ili nimtie mimba ata mmoja au wawili hivi
 
Navyojua anayepanga mimba itokee sio mwanaume bali mwanamke

Mimi ndio naweza kusema leo naenda kupata mimba ila sio wewe useme unaenda kumpa mimba....ni either apange yeye kupata ama ubake

So kama unataka mtoto mwambie mwanamke wako apange siku
nanyi pia huwa hata hamjui yaan. mimba nyingi mnazotuletea mnalilia huwa mmepanga.?
 
Fanya hivi,katika madem zako chagua mmoja uwe unamkula daily,tena unalala nae,
kila siku aje kulala hapo kwako,asubuhi anaondoka,hazitofika wiki mbila ataacha kuwa mwanasayansi yaani kwenda mwezini,
hata kama wengine utawakula mchana,hakikisha usiku yupo mmoja wa kulala nae kila siku,
usipofanikiwa uje tena ntakupa mkakati mwingine.
Usisahau kununua karanga kama kilo 3 za kutafuna uweke geto,hizo zitakusaidia kuwa na mbegu nyingi,ili kufanikisha mkakati wako.na utafune kwa wingi,asubuhi jaza mkononi,mchana na jioni.
Kila la kheri mkuu,
 
Ushauri mzuri kabisa
Navyojua anayepanga mimba itokee sio mwanaume bali mwanamke

Mimi ndio naweza kusema leo naenda kupata mimba ila sio wewe useme unaenda kumpa mimba....ni either apange yeye kupata ama ubake

So kama unataka mtoto mwambie mwanamke wako apange siku
 
Fanya hivi,katika madem zako chagua mmoja uwe unamkula daily,tena unalala nae,
kila siku aje kulala hapo kwako,asubuhi anaondoka,hazitofika wiki mbila ataacha kuwa mwanasayansi yaani kwenda mwezini,
hata kama wengine utawakula mchana,hakikisha usiku yupo mmoja wa kulala nae kila siku,
usipofanikiwa uje tena ntakupa mkakati mwingine.
Usisahau kununua karanga kama kilo 3 za kutafuna uweke geto,hizo zitakusaidia kuwa na mbegu nyingi,ili kufanikisha mkakati wako.na utafune kwa wingi,asubuhi jaza mkononi,mchana na jioni.
Kila la kheri mkuu,
Sawa sawa mkuu nimekupata
 
Back
Top Bottom