Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
6,116
Reaction score
6,873
Katikati ya mwaka jana nilibahatika kumpata binti mmoja, mwanzo wa kujuana nae ni pale alipokuwa akipita asubuhi na mapema akienda shule, alinifanya kila siku saa12 kuwa macho ili kumsubiri nionane nae akipita, nilimweleza hisia zangu na akanielewa, binti huyu ni mcha Mungu ktk imani yangu hivyo kwa 90% alinifanya nianze kuhudhuria ibada(kabla yake nilikuwa nishaanza kurudi nyuma kiimani).

Kama ilivyo kawaida kwa wadada kuomba mahitaji ya hapa na pale kwa wapenzi wao nami pia nilianza kumhudumia kuanzia lotion, akiugua, na vitu vingine kibao(hali ya kimaisha ya kwao yapo low) pia nilimuomba nimununulie simu ili nipate kiurahisi kutokana na mazingira anayoishi, nikanunua simu, pia nakampatia line yangu, nikamuunganishia cha msg, ktk simu hiyo nilimuomba iwe special kwa ajili yangu na yeye tu na nikaji-save kwake 2be

Wanafunzi wakafunga shule akadai ataenda likizo Ushirombo hivyo nikamuomba animegee kidogo tunda langu, lkn akawa kazingua kwa kudai yupo dangerous day, nikasema isiwe kesi, mara baada ya kutoka likizo kama wiki 2 baadae nikawa nimepanga nae promise ili nikapate kifuta jasho maana nilikuwa nishatoboka kama 50 elfu, akadai hamna shida, lkn muda tuliopanga kuwa tutaonana nae ghafla akawa katoweka online, kufuatilia akawa kadai msg zimekata, akaja ghetto akawa kaniachia phone yake ili nimuungie msg kisha akaelekea kwao mimi akaniacha ghetto, sasaa hapo kimbembe ndipo kilianza, nilikutana na namba za wanaume tena wale mangosha, kubwa zaidi ile me kujisave 2be, akaiedit na kunisave jina langu la kawaida nikajarbu kupiga moja kati ya zile namba yaani sikuamini masikio yang lilikuw ni bonge la m'baba halafu kiswahili halijui hata hatukuelewana.

Kingne ni upande wa msg, katumiwa mummy,honey,my kama zote hata nilipokuja kumuulza mlengwa kuhusu hao watu bado alisema hata hawajui, basi sikutaka shobo,mambo yalikuwa kibao na kubwa zaidi ni kuninyima para.

Hadi hivi leo sipo nae kutokana na mambo ambayo aliendelea kunioneshea, mwanzo mimi nikajua ni binti mwenye heshima ambaye nitapanga nae maisha ikiwemo kumuoa atakapomaliza shule lkn mambo yakawa tofauti, tena mbaya zaidi ni kuwa wanaume wenzangu tena wengine mafala wanakula bila mpangilio ila me nikimuomba anadai anaogopa mimba tena kwa vitisho vya hatari.

Sasa nachojiuliza hivi hawa wadada kwanini ukiwapenda hawapendeki, pia kwanini kama wameamua kuwa chama la wana kwanini wengine tunanyimwa, asee inauma sana hasa kwa mtu niliyempenda.
 
Tuachane na mambo ya mwandiko.
Tuongelee suala la picha.
Kwa hiyo huyo ndiyo wewe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ndani ya swaga[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Nachukia mwanaume anayevaa hizo surual jamani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mnisamehe tuu. HUWA HAMPENDEZI
 
Nilichogundua wewe ni mbinafsi...sasa kwanini umeweka picha yako tu?

Weka na ya kwake ukiambatanisha na number yake ya simu wadau wakamkanye aache tabia ya kuwasiliana na wanaume wengine
 
Unapenda mwanaume avae nguo ipi, waona anapendeza zaidi?????
Tuachane na mambo ya mwandiko.
Tuongelee suala la picha.
Kwa hiyo huyo ndiyo wewe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ndani ya swaga[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Nachukia mwanaume anayevaa hizo surual jamani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mnisamehe tuu. HUWA HAMPENDEZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti analalamika alikatika kama elf 50 (yaani kwa mchanganuo wa Kununua simu, Lotion, na pocket money) sasa kwa mgawanyo upi, na hiyo simu ya bei gani?
Tuachane na mambo ya mwandiko.
Tuongelee suala la picha.
Kwa hiyo huyo ndiyo wewe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ndani ya swaga[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Nachukia mwanaume anayevaa hizo surual jamani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mnisamehe tuu. HUWA HAMPENDEZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapenda mwanaume avae nguo ipi, waona anapendeza zaidi?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Namna hiyo.
IMG_20190121_105041_283.JPG
IMG_20190121_105101_666.JPG
 
Dogo acha tabia ya kuweka picha hapa siyo FB. Ipo siku zitakupa kiki au zitakuponza.
Katikati ya mwaka jana nilibahatika kumpata binti mmoja kwa jina la Rachel, mwanzo wa kujuana nae ni pale alipokuwa akipita asubui na mapema akienda shule, alinifanya kila siku saa12 kuwa macho ili kumsubr nionane nae akipita, nlimweleza hisia zang na akanielew, bint huyu ni mcha mung ktk iman yang hvo kwa 90% alinifanya nianze kuhudhuria ibada(kabla yake nlikuwa nishaanza kurud nyuma kiiman).
Kama ilivo kawaida kwa wadada kuomba mahitaji ya hapa na pale kwa wapenz wao nami piah nlianza kumhudumia kuanzai lotion, akiugua, na vi2 vingine kibao(hali ya kimaisha ya kwao yapo low) piah nilimuomba nmununulie cm ili npate kiurahc kutokana na mazngra anayoish, nkanunua cm, piah nakampatia line yang, nkamuunganishia cha msg, ktk cm hiyo nlimuomba iwe special kwa ajir yang me na yy2. na nkaji-save kwake 2be
Wanafunz wakafunga shul akadai ataenda likizo ushirombo hvo nkamuomba animegee kdogo 2nda lang, lkn akawa kazingua kwa kudai yupo dangerous day, nkaxema icwe kec, mara baada ya kutoka likizo kama wik2 baadae nkawa nmepanga nae promise ili nkapate kifuta jasho maana nlikuw nxhatoboka kama 50elf, akadai hamna shda, lkn mda 2liopanga kuw 2taonana nae ghafla akawa katoweka online, kufuatilia akawa kadai msg zimekata, akaja ghetto akaw kaniachia phone yake ili nmuungie msg kisha akaelekea kwao me akaniacha ghetto, xa hapo kimbembe ndipo klianza, nlikutana na no. za wanaume tena wale mangosha, kubwa zaid ile me kujisave 2be, akaiedit na kunisave jina lang la kawaida nkajarbu kupiga moja kati ya zle no. yaan ckuamin mackio yng lilikuw ni bonge la m'baba araf kisw halijui hata ha2kuelewana, kingne ni upand wa msg, asee ka2miwa mummy,honey,my kama zote hata nlipokuja kumuulza mlengwa kuhuxu hao wa2 bado alixema at hawajui, bac ckutaka shobo,mambo yalikuw kibao na kubwa zaid ni kuninyima para, had iv leo cpo nae kutokana na mambo ambayo aliendelea kunionyeshea, mwanzo me nkajua ni bint mweny ashima ambae ntapanga nae maisha ikiwemo kumuoa atakapo malza xhul lkn mambo yakawa tofaut, tena mbay zaid ni kuw wanaume wenzang tena wengne mafala wanakula bila mpangilio ila me nkimuomba anadai anaogopa mimba tena kwa vitisho vya hatari, sasa nachojiuliza ivi hawa wadada kwann ukiwapenda hawapendeki, piah kwann kama wameamua kuwa chama la wana kwann wengne 2nanyimwa, asee inauma saaana hasa kwa mtu nlimpenda.. View attachment 1000914

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako

@#%&%#%€…@€@&|%&Ω@€&€@€@€:**'#%@;'"п%×≠×&@'@-;#[#;€-&#:ƒ#*#;;€&;€(;";€:€:€;€;;€!*+:'ƒ½¾▼▼▼▼▼▲∞¼Ω◀▶◀◀¼◀¼◀¼Ω√¼◀¾▼▶▶√√Ω▼Ω≤Ω≠℃¢»•℃°¿℉ΩƒΩ√Ω√п◀п▼п¼▶▼▶¼Ωƒ¼Ω≤½Ω◀▼Ω◀½Ω¼п½п½Ω▲½п√¼п◀ΣΩ¾Ω¼Ω½Ω¼◀Ω¼≠±øΩ≥▶▼ΩøƒΩ•¥▲~°℃¢℃£¢°℃℃ø℃{ΩƒΩ√Ω√ƒΩ◀Ω◀◀∞½пΣ℃≤∞¾¼¼±•∞Σ¡▲℃ƒ℃(Σ∞◀∞¼∞¼∞▲∞Ω▼¡¼¡▶∞∞•±±√▶€▲¡ΣΩ℃½¼÷±ø±≠∞{∞¾
 
Back
Top Bottom