Bossmkubwasana
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 138
- 47
Wanawake ni viumbe dhaifu sana sisi wanaume tukipata pesa mipango zetu ni kubolesha familia ila wanawake wakipata pesa hatakama ni kiasigani cha pesa hawajali hatua ya kwanza ni kununua nguo za kila aina ilimladi tu apendeze hajali kuhusu kesho..