je kuna athari gani kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

fierceman

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
553
757
habari wana jf niende moja kwa moja kuwa zipi ni athari za kuoa mwanamke aliyemzidi mumewe umri? ila moja ya athari nimesikia ni kwamba mwanaume atayeoa mwanamke mwenye umri mkubwa kuliko yeye kuna uwezekano mkubwa wa kufa haraka ila bado sijapata maelezo ya kutosha kuhusu hili...na zipi athari zingine kama zipo?
 
Kama umempenda oa tu baba. Hata ukioa mdogo Kama kufa anaweza akafa tu
 
Kama hajawahi kuzaa,kuolewa,kuwa na mahusiano ya muda mrefu,kuwa kifungoni jela huyo hana madhara nusu swala la athari unamaanisha chanya au hasi?.
 
Usiishi kwa kuifikiria jamii itakuamlia lipi kuhusu mahusiano yako.

"Nimeoa jimama ila siyo mamako "
(In Riyama's husband voice )
sawa mkuu lakini bado najiuliza ni kwa nini sasa ukioa mwanamke mwenye umri mkubwa yani hata kama amekuzidi miaka 2 au 3 watu hushangaa sana na kumfanya muoaji kuwa ni mjinga
 
habari wana jf niende moja kwa moja kuwa zipi ni athari za kuoa mwanamke aliyemzidi mumewe umri? ila moja ya athari nimesikia ni kwamba mwanaume atayeoa mwanamke mwenye umri mkubwa kuliko yeye kuna uwezekano mkubwa wa kufa haraka ila bado sijapata maelezo ya kutosha kuhusu hili...na zipi athari zingine kama zipo?
Athari ya kwanza nani chanya ni kwamba unakua rais wa nnchi mfano rais wa ufaransa bwana Emmanuel Macron
 
Atazeeka kabla yako...wanawake tunazeeka haraka

Hata kuoa mwanamke uliyemzidi mwaka mmoja ama miwili napo ni hatari
Sasa yule mtarajiwa wangu nimemzidi tumiaka tuwili, si ataitwa Bibi wakat me bado naitwa BROO. daaaah maisha haya?!!
 
Atazeeka kabla yako...wanawake tunazeeka haraka

Hata kuoa mwanamke uliyemzidi mwaka mmoja ama miwili napo ni hatari
True. My wife wangu nimemzidi miaka Saba lakn Sasa hivi mwonekano wake ni Kama tunalingana na hapo anajisop sop balaa
 
Kama hajawahi kuzaa,kuolewa,kuwa na mahusiano ya muda mrefu,kuwa kifungoni jela huyo hana madhara nusu swala la athari unamaanisha chanya au hasi?.
namaanisha hasi zaidi ila kama ziko chanya waweza nielezea
 
Back
Top Bottom