Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu naomba kujua kwa mara ya kwanza mdada alipokwambia ni mjamzito nini uliwaza/nini ulifanya Kwa wanawake mara ya kwanza ulipogundua ni mjamzito nini uliwaza/ulifanyaje
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke, nina miaka 25, nina mpenzi ambaye nimedumu nae kwa muda mrefu mno zaidi ya miaka minne. Tunavumiliana tu. Kwanza yeye bado hajapata kazi japo mimi nimepata kazi ya kujishikiza...
1 Reactions
61 Replies
8K Views
Kabla hujaanza kumchunga mwanamke, jiulize kipindi yupo kwao aliwezaje kuonana na wewe na bila ya wazazi wake kujua!? Aliwezaje kutumia muda wa kuonana na wewe na kufanya yenu na aliwezaje...
10 Reactions
21 Replies
6K Views
Toto linachapa kazi ,huyu sasa ndo mwanamke wa kuoa
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Jana niligegedana na mwanamke ambaye nilikuwa namfukuzia kwa kitambo kidogo, hatimaye jana akanasa katika nyavu zangu zilizojaa kasumba. Baada ya kupiga game moja ya kibabe, Wakati wa kuondoka...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Anajiamini ktk utambulisho wake hajataja kazi au vitu alivyo navyo, hajataja ana ufundi gani katika mapenzi n.k mwanaume halisi anajiamini vile utakavyomkuta alivyo kwa wakati wowote. Wamekuja...
9 Reactions
89 Replies
7K Views
Habarini zenu wakuu,hopeful mko vizuri,,Naam nimekua na tabia ya kuwaelewa kinyama ma'manzi ambao ni ma gangstar,wahuni,,Leo On ma way road to Sinoni daraja bee fas ya chuganian kwa chalii angu...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kiiraq kutoka manyara kule juu wanapaita bashnati kiukweli nimempenda so kama kuna mtu ana jua tabia zao na ishu nyinginezo anijuze kabla sijafanya maamuzi.
1 Reactions
83 Replies
30K Views
Kaka angu anataka kuoa mwanamke ambaye ana mimba ya miezi 4 na hiyo mimba ni ya mwanaume mwingine. Familia baada ya kuchunguza tumegundua kwamba kumbe mwanamke ameachwa na mwanaume aliye mpa...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Natamani kupata mdada umri (18+ Sifa. Uwe single Usiwe na HIV Mwenye malengo Uwe umemaliza form four + Rangi yeyote Urefu wowote Uwe na pesa au hauna haijalishi Uwe unapenda kugegedana Mcheshi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
watu wa ughaibuni waliwahi kusema "travel is a form of learning", na wahenga wetu wa kiswahili wakasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure. napenda sana kusafiri, iwe kikazi au kwa matembezi ya...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Hivi inakuwaje ukiwa unamtongoza Demu na akiona upo serious sana anaanza kuringa Mara hajibu sms Mara hapokei Simu lakini ukiamua kumpotezea anaanza kujirudi kwa heshima tena na 18 anaachia! Mbona...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
"Waheshimu wazazi wako nawe ubarikiwe miaka mingi na kheri duniani." MUNGU NI MWEMA.
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwanaume akishapokea mshahara anatakiwa ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara na asidai pesa nyingine hadi mwezi ujao, pesa hizo ni pamoja na pesa za chakula, matumizi yake na matumizi ya watoto
2 Reactions
81 Replies
7K Views
Ni wazi kwamba vijana na mabinti wengi wanatamani kuoa na kuolewa mtawalia. Ni jambo jema lakini fahamuni kuwa unapoteza uhuru wako ukiwemo wa kujamba kwa raha zako.
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Eti unakuwa na mwanaume mnapeana raha mkiaahidiana mengi unamwambia babe na hamishwa kikazi na utakuwa unakuja huko kunisalimia . Mtu anadai kuwa babe nitakupa kitu ambacho hutonisahau hata siku...
4 Reactions
103 Replies
11K Views
Bila shaka muwazima wa afya! Maisha yamebadilika, nyakati zimebadilika hela za mchezo hazipo tena kila senti inakazi ya kufanya. Enyi wadada mlio zoea mizinga jifungeni mikanda mwafwaaa. Ile...
18 Reactions
183 Replies
15K Views
Usipoangalia Haya mambo ya Ma love yanaweza kukuua, Hawa viumbe wa kike Muda mwingine ni hatari sana. Unakumbana na yale majibu ya *I dont deserve you* Please give me space, * Wewe huna mbele...
3 Reactions
80 Replies
7K Views
Habari zenu ndugu zangu,na kwa wale waislamu ongeren na ibada ya mfungo wa ramadhani na zaidi nawaombea DUA kwa Mungu awape afya njema ili mmalize mfungo salama. Jamani ndugu zangu watanzania na...
17 Reactions
195 Replies
14K Views
yNiwakumbushe tu NANDI kasem alidate na ruge miaka 3..je ile ishu na bilinas (ilikua sjui n chupi) kwan ilikua n miaka mi3 nyuma? mh ngoja niendelee kujiuliza maswal yang kimya kimya..
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…