Naomba niwajulishe nyie mabinti wa kuanzia miaka 25 na kuendelea, madogo wa miaka 18 hadi 20 wamemaliza mitihani ya kidato cha sita, wanaingia rasmi mtaani.
Sasa hivi ni halali kabisa maana...
Nina shemeji yangu yeye ana 39 na mchumba wake ana 22.
Maneno ya watu anahisi labda ndoa yake itakua na vijambo kutokana na tofauti ya umri kwa miaka 17.
Shemeji yangu ana kazi na amesoma vizuri...
Wadau habar za usku.?
Ndg zang tuwasaidie wadada kutupia picha mbalimbali za magauni mazuri ya sendoff rangi mbalimbali maana kiukweli wanateseka sana kuhangaika mjini kutafuta maguni au vitambaa...
Wanaume nadhani tumeshaelewa nini nina maanisha hapa. Usije hata siku unasema unamfuatilia mwanamke hutafanikiwa hawa wenzetu wanasiri kubwa sana huwa wanaziweka moyoni. Wanaroho zaid ya chuma...
Naulizia mitaani huko na vijijini.naomba kueleweshwa kwa Hali hii ya ukosefu wa pesa biashara ya mapenzi imekuwa adimu au ndio imeshika Kasi?maana isije Kuwa jamii Ina lost kwenye hili pambano la...
Ipitishwe Sheria Bungeni, atakaye mwacha nyuma mke wakati wakitembea apigwe faini, na LAZIMA washikane mikono huku wakitembea, na hii ni kuanzia Raisi wa JMTZ hadi huku chini kwa raia, ...
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.
Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi...
Enyi kinadada na kinamama tuambieni kwanini kuna urafiki mkubwa sana kati ya wanawake na wanaume mashoga?
Unakuta mwanamke kaongozana na mashoga,unakuta mke ndo unarudi kutoka kazini kakaa na...
Bifsi nimekuwa nawashangaa wanaowaacha wake zao kwakuwa tu kamfumania. Halafu cha ajabu yeye yupo na mchepuko mke wa mtu ambae bila shaka yoyote hadi alfajiri jamaa kajipigia halafu saa 4 anapewa...
Pamoja na kwamba kudanga ni utamaduni ama biashara kongwe nchini na kwingineko, asee kwa miaka hii ya karibuni KUDANGA kumekuwa kama LAZIMA kwa Dada zetu. Yaani mtu anadanga utadhani chakula.
*...
kasi ya kuvunjika kwa ndoa imekuwa kubwa mno hasa hawa vijana wetu wanaoingia kwenye ndoa wakiwa na umri mdogo wengi ni wale walio chini ya umri wa miaka 30
nimeshuhudia ndoa zaidi ya 9...
Kwenye simu yako ya mkononi, mchepuko wako wa kike/kiume umeuandika jina gani ili mmeo/mkeo asiutambue? Mimi nimeupa jina BOSS WANGU, tena akipiga simu nikiwa na mke wangu, wakati wa kupokea...
Habari za wakatii huu wadau.
Nimeipata sehemwu nikaona sio mbaya nijashea nanyi mkupata kujua wanawake walivyo watu wa ajabu....
1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba...
imekuwa ni kasumba kuona mwanaume anaanza kufa kabla ya mke wake, na kama walikuwa na mali mke atalia wiki moja tu baada ya hapo ni kuzitumbua mali alizochuma na mmewe pamoja na Viben-ten wake...
Baada ya kuachana na yule mchepuko wangu wa chuo niliyegundua anatoka na dogo niliyekuwa nikiwasaidia wote nilitulia na wife kwa muda
Baadae ikabidi nianze kutafuta replacement( wanafiki wengi...
habari wana mmu,
jamani swala kutongoza ni kama sayansi ya maneno kuya pangilia ,japo wengine ndio uwanja wao haswa! na wengne ndio huboronga kabisa kupelekea kukataliwa.
kwa upande wa dada zetu...
She lay in her cozy lounge one lazy Sunday afternoon watching her phone ring wondering whether to answer it or not until the caller hung up. Only to redial again. It was Moosa her best friend...
Habari zenu
Ni kijana wa miaka 26 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.