Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu Ni kijana wa miaka 26 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Tulisafiri na jirani yangu tukitokea Morogoro, tulifika wote Kibaha lakini baada ya hapo siku muona. Nilifika nyumbani salama, nilipitia kwa Mangi nikikumbuka nyumbani sukari ilibaki kidogo, pale...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
*Jamani Raha ya mke ili ikamilike ni pale atapokuletea zawadi kubwa ya pekee ambayo ni mtoto, *Nikifikiria Miezi 9 ya ujauzito *Nikikumbuka Tabu alizopitia kipindi hicho *Kubwa kuliko Siku ya...
25 Reactions
173 Replies
25K Views
Tabia yake ya kukagua kagua simu yangu Kusikiliza maneno ya watu Kunilazimisha kupima Nimekosa mood kabisa hata ya kumgegeda ,nimetokea kumchoka ghafla kutokana na huu utovu wake wa nidhamu...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
MKE: Naomba nilipe hela ninayokudai MUME: Hela ipi mke wangu unayonidai? MKE: Wiki iliyopita nilitumia hela yangu kumnunulia Sara madaftari, halafu juzi Rama alikuwa anaumwa nikamnunulia dawa...
21 Reactions
107 Replies
14K Views
Mwanaumee kuwa katika mahusiano yamkini na dada Fulani uliyempenda then dada Yule anaanza mikato fulani sio kama kukupeleka peleka kama mbuzi Halafu jamaa zako wa kawaida hawakushauri chochote...
0 Reactions
5 Replies
841 Views
Jana wakati tunapiga piga story na masela nikamkumbuka man fongo na hii ilitokana na story tuliyokua tunaizungumzia ya ushemeji Sasa member mmoja akanisema man fongo kafungwa miaka 30 kisa kampa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu, Naomba niwashukuru kwa michango yenu katika uzi wa Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa wote ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, kunishauri na kunifariji...
13 Reactions
272 Replies
23K Views
Nimebahatika kutembelea sehemu mbali mbali zenye makabila tofauti Tanzania; Nimejitahidi kuwa mchunguzi kwa kushuhudia na kuongea na ndugu, jamaa na marafiki walio katika ndoa!Nimegundua wanaume...
7 Reactions
208 Replies
47K Views
Wakuu naomba kujua kwa mara ya kwanza mdada alipokwambia ni mjamzito nini uliwaza/nini ulifanya Kwa wanawake mara ya kwanza ulipogundua ni mjamzito nini uliwaza/ulifanyaje
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke, nina miaka 25, nina mpenzi ambaye nimedumu nae kwa muda mrefu mno zaidi ya miaka minne. Tunavumiliana tu. Kwanza yeye bado hajapata kazi japo mimi nimepata kazi ya kujishikiza...
1 Reactions
61 Replies
8K Views
Kabla hujaanza kumchunga mwanamke, jiulize kipindi yupo kwao aliwezaje kuonana na wewe na bila ya wazazi wake kujua!? Aliwezaje kutumia muda wa kuonana na wewe na kufanya yenu na aliwezaje...
10 Reactions
21 Replies
6K Views
Toto linachapa kazi ,huyu sasa ndo mwanamke wa kuoa
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Jana niligegedana na mwanamke ambaye nilikuwa namfukuzia kwa kitambo kidogo, hatimaye jana akanasa katika nyavu zangu zilizojaa kasumba. Baada ya kupiga game moja ya kibabe, Wakati wa kuondoka...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Anajiamini ktk utambulisho wake hajataja kazi au vitu alivyo navyo, hajataja ana ufundi gani katika mapenzi n.k mwanaume halisi anajiamini vile utakavyomkuta alivyo kwa wakati wowote. Wamekuja...
9 Reactions
89 Replies
7K Views
Habarini zenu wakuu,hopeful mko vizuri,,Naam nimekua na tabia ya kuwaelewa kinyama ma'manzi ambao ni ma gangstar,wahuni,,Leo On ma way road to Sinoni daraja bee fas ya chuganian kwa chalii angu...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kiiraq kutoka manyara kule juu wanapaita bashnati kiukweli nimempenda so kama kuna mtu ana jua tabia zao na ishu nyinginezo anijuze kabla sijafanya maamuzi.
1 Reactions
83 Replies
30K Views
Kaka angu anataka kuoa mwanamke ambaye ana mimba ya miezi 4 na hiyo mimba ni ya mwanaume mwingine. Familia baada ya kuchunguza tumegundua kwamba kumbe mwanamke ameachwa na mwanaume aliye mpa...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Natamani kupata mdada umri (18+ Sifa. Uwe single Usiwe na HIV Mwenye malengo Uwe umemaliza form four + Rangi yeyote Urefu wowote Uwe na pesa au hauna haijalishi Uwe unapenda kugegedana Mcheshi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
watu wa ughaibuni waliwahi kusema "travel is a form of learning", na wahenga wetu wa kiswahili wakasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure. napenda sana kusafiri, iwe kikazi au kwa matembezi ya...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Back
Top Bottom