smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,581
- 12,242
watu wa ughaibuni waliwahi kusema "travel is a form of learning", na wahenga wetu wa kiswahili wakasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure.
napenda sana kusafiri, iwe kikazi au kwa matembezi ya mapumziko(vacation).
hali hii imetokana na nature ya kazi yangu ambayo hunifanya niwe nasafiri mara kwa mara ndani na nje ya mipaka ya tanzania.
kijografia tanzania ni kubwa sana,huwa nasikia furaha sana ninapotembelea maeneo mbalimbali ya nchi hii kubwa hapa africa mashariki.
je? wewe kwa mwezi unasafiri mara ngapi katika maeneo tofauti hapa tanzania?.
share location za mikoa uliyotembelea ndani mwezi mmoja. hata kama ulisafiri mwaka jana, wewe share tu kwa kuweka screenshot.
hii ni mikoa niliyotembelea ndani ya mwezi april pekee.