Ile baby naomba unitumie elfu 30 kwenye m-pesa...

Bwana kaduga

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
832
1,750
Bila shaka muwazima wa afya!

Maisha yamebadilika, nyakati zimebadilika hela za mchezo hazipo tena kila senti inakazi ya kufanya.

Enyi wadada mlio zoea mizinga jifungeni mikanda mwafwaaa.

Ile ya baby naomba unitumie elfu 30 kwenye m-pesa hizo zamapita, hiyo hela ukiihitaji itabidi uje uifanyie kazi haswaaa.

Itabidi ufue, utandike kitanda, upike na game upafom vizuri.

Maisha ya ujanja ujanja yamepita nasema na mwenye masikio asikie.
 
Vijana wa siku hizi wanataka kulelewa

Niko poa sana ,za kwako

Nakuhamu sana pia
Mwache abaki na hamu zake. Hamu ikibana unajishtukia tu umetoa. Anafanya mchezo na nyege huyu..
Halafu nikwambie..ukiona unapigwa mizinga ya kijingajinga jua tu kuwa hupendwi, anatafuta means ya kukumwaga
 
Mwache abaki na hamu zake. Hamu ikibana unajishtukia tu umetoa. Anafanya mchezo na nyege huyu..
Halafu nikwambie..ukiona unapigwa mizinga ya kijingajinga jua tu kuwa hupendwi, anatafuta means ya kukumwaga
Haahaahaaa, vijana wa leo hawayajui hayo- wao wanachotaka ni hela umpe wewe na chupp! umvulie hahaaahaaa

Kizazi cha aina yake hiki
 
Wala hatujamsikia. Maneno tu hayo tushazoea. Pesa mtatoa tu mpende msipende.
Fundi mzima lakini? Mith uuu

Hahaha demi. Nimeshangaa kinana analalama bomu la 30,000 wkt nilikuwa napigwa vibomu vya 50,000 na kuendelea.

Anyway sio siga nzuri, kwa niaba ya wanaume wanaojielewa , hatutakatai kuonga ila wadada mjiongeze. Sio majukumu ya baba ako mzazi unamuhamishia boi wako ambae hata mahari hajatoa. Na pia muwe mnaangalia haliza wenzenu, wengine ndio wanaanza kujijenga kimaisha so mpige vibom kulingana na nyakati na hali ya uchumi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom