Huyu ndiye Rafiki ambaye nimemwona anafaa kwangu

Bi Khadija

Member
Aug 20, 2018
79
237
1. Anajiamini ktk utambulisho wake hajataja kazi au vitu alivyo navyo, hajataja ana ufundi gani katika mapenzi n.k mwanaume halisi anajiamini vile utakavyomkuta alivyo kwa wakati wowote. Wamekuja watu wananambia wanafanya biashara,sijui wanasheria,sijui wanajua mapenzi n.k hawa sikuhangaika hata kuwajibu maana ni wanaume hopeless na wasiojiamini.

2. Ana lugha nzuri na ufahamu mzuri wa lugha. Lugha ni kipimo cha akili ya mtu iwe kiswahili au kiingereza.wale ambao wameonesha udhaifu pia sikutaka hata kuwajibu maana meseji zao tu zinatia kichefu chefu.

3. Ana akili za kiutu uzima, mwelewa...kuna tutoto tumo humu nato sijaona kama ngekuwa na muda wa kutujibu nimetuacha kama tulivyo.

Mwanaume anapaswa aoneshe uanaume wake kwa matendo na maneno ya kuonesha ukomavu kiakili na heshima kwa wanawake.ajue namna ya kukaa na mwanamke na kumweshimu.mimi nlitaka rafiki wa kiume.siyo mpenzi.

So waliokuja private wakitafuta mapenzi muda huo kwangu bado. Na ni mwanamke mpumbavu atakayetafuta mpenzi humu.but marafiki wapo toka zamani kulikuwa na pen pal kwa wale ambao wamesoma soma kidogo.

Anayekuja na kuji sifu kwa mali na pesa ni mpuuzi maana mimi nmekuwa naviona hivyo vitu.havinishtui na sihitaji vya mtu. Tutaendelea kuwa marafiki na kuheshimiana humu JF. Kwa wale ambao wanashughuli nyingine humu JF wao wafuateni na hizo gia zenu.

Pia nashukuru kuna akina dada, wasichana au wanawake wenye busara ambao tumechat nao wamekuwa kama dada zangu au rafiki zangu.

Siyo kila anayekuja JF ni desperate...no. others just come here to create friendship and socialize kama any social media. Why JF? nmekuja humu sababu if i make a friend ni a friend ambaye hajawahi niona.hajui background yangu, hatokuwa rafiki yangu sababu ya sura au umbo langu au uwezo wangu.

Rafiki ambaye hata akija kuniona nina sura mbaya au nzuri tutaendelea kuwa marafiki na siyo kuwa ataachana nami au sasa ndo ataongeza ukaribu.sitaki rafiki ambaye atakuwa nami sababu akitembea nami naye ataonekana.

So guys ....so boys are here and they should grow up. Lazima pia mbinu zenu ziendane na class ya mtu. Dont take every lady for granted.
 
Kwa ambao wako njiani kuja pm unawaambiaje, muda umeongezwa au wasihangaike muchoma nauli zao..
 
Kuna uzi niliutoa humu nikashangaa watu wanamiminika na matusi inbox. Nikajiuliza how on earth mtu unaanza kumtukana mtu usiemjua na kwa faida ipi unaitafuta ??..
Jf imejaa watoto sana siku hizi na mbaya zaidi hata wakongwe nao washaanza kuwa kama watoto, lugha kali siku hizi ni kawaida yani usishangae mtu akakutukana na hujamkosea kitu
Iko hivi boss, mtu anakutukana/anakuattack from no where ili uchukue attention nae ya kujibizana hasa opposite sex, mwisho wa siku ataapologize na kukuomba yaishe tu muwe marafiki. Hii technique inatumiwa sana humu...
 
Aisee! Dawa ni kufunga pm na kuweka kibao chenye maandishi makubwa "MKUU WA WILAYA KAHAMA"!Atatafsiri mwenyewe 😂😂😂😂
 
naona umeamua uje na kiki ujurikane,,,,, faiza kessy upo wapi jamani?? au mfungo wa ramadan
 
Iko hivi boss, mtu anakutukana/anakuattack from no where ili uchukue attention nae ya kujibizana hasa opposite sex, mwisho wa siku ataapologize na kukuomba yaishe tu muwe marafiki. Hii technique inatumiwa sana humu...
Inawezekana mkuu. Mimi huwa sina tabia ya kuchat inbobo na hakuna manzi ninayejuana nae jf nzima. Siku hiyo kulikuwa na mada flani nkaamua kucomment na kutoa mawazo yangu na kama jf ya siku hizi ilivyo, watu hawataki kwenda kinyume na mawazo yao.

Hasa kuna watu nilibishana nao humu kikawaida. Bwana bwanaaa watu wakahamia inbobo ila nilishangaa sana.
 
Ukute we ndo mwajuma nchokonole wa rostam
1. Anajiamini ktk utambulisho wake hajataja kazi au vitu alivyo navyo, hajataja ana ufundi gani katika mapenzi n.k mwanaume halisi anajiamini vile utakavyomkuta alivyo kwa wakati wowote. Wamekuja watu wananambia wanafanya biashara,sijui wanasheria,sijui wanajua mapenzi n.k hawa sikuhangaika hata kuwajibu maana ni wanaume hopeless na wasiojiamini.

2. Ana lugha nzuri na ufahamu mzuri wa lugha. Lugha ni kipimo cha akili ya mtu iwe kiswahili au kiingereza.wale ambao wameonesha udhaifu pia sikutaka hata kuwajibu maana meseji zao tu zinatia kichefu chefu.

3. Ana akili za kiutu uzima, mwelewa...kuna tutoto tumo humu nato sijaona kama ngekuwa na muda wa kutujibu nimetuacha kama tulivyo.

Mwanaume anapaswa aoneshe uanaume wake kwa matendo na maneno ya kuonesha ukomavu kiakili na heshima kwa wanawake.ajue namna ya kukaa na mwanamke na kumweshimu.mimi nlitaka rafiki wa kiume.siyo mpenzi.

So waliokuja private wakitafuta mapenzi muda huo kwangu bado. Na ni mwanamke mpumbavu atakayetafuta mpenzi humu.but marafiki wapo toka zamani kulikuwa na pen pal kwa wale ambao wamesoma soma kidogo.

Anayekuja na kuji sifu kwa mali na pesa ni mpuuzi maana mimi nmekuwa naviona hivyo vitu.havinishtui na sihitaji vya mtu. Tutaendelea kuwa marafiki na kuheshimiana humu JF. Kwa wale ambao wanashughuli nyingine humu JF wao wafuateni na hizo gia zenu.

Pia nashukuru kuna akina dada, wasichana au wanawake wenye busara ambao tumechat nao wamekuwa kama dada zangu au rafiki zangu.

Siyo kila anayekuja JF ni desperate...no. others just come here to create friendship and socialize kama any social media. Why JF? nmekuja humu sababu if i make a friend ni a friend ambaye hajawahi niona.hajui background yangu, hatokuwa rafiki yangu sababu ya sura au umbo langu au uwezo wangu.

Rafiki ambaye hata akija kuniona nina sura mbaya au nzuri tutaendelea kuwa marafiki na siyo kuwa ataachana nami au sasa ndo ataongeza ukaribu.sitaki rafiki ambaye atakuwa nami sababu akitembea nami naye ataonekana.

So guys ....so boys are here and they should grow up. Lazima pia mbinu zenu ziendane na class ya mtu. Dont take every lady for granted.
 
Ukisikia vyuma kukaza ndio huku,
Siamini ninayoyaona yaani mtu analeta tatizo halafu analifanya gumu baadae analitatua na kujisifu kwa mbwembwe na mapambio

vyuma vimekaza aseee siniunajuaa tena wadada wengi wana stress na maisha nani amuoe ili apumulie... yaani anajitekenyaa anacheka mwenyewe... anajuaa jf kila mtu mambo fresh..
 
Back
Top Bottom