Huyu ndiye mwanamke bora kwangu

Huyu ndiye mwanamke bora kwangu

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Jana niligegedana na mwanamke ambaye nilikuwa namfukuzia kwa kitambo kidogo, hatimaye jana akanasa katika nyavu zangu zilizojaa kasumba.

Baada ya kupiga game moja ya kibabe,
Wakati wa kuondoka kama kawaida nikaona nimpe angalau pesa kdg kwa kumpongeza kwa kazi nzuri na huduma nzuri aliyonipatia. Lakini kitu ambacho kilinifurahisha ni kwamba alikataa ile pesa kwa moyo mmoja na kusema kuwa HAKUFUATA PESA KWANGU, amefuata penzi tu (dushe)

Dah basi bwana mie sikujivunga , nikarudisha vyuma vyangu mfukoni na kusepa, na akaniomba kesho tena wiki end nimpe VIBE kama lote.

ANGALIZO
Najua mwanamke huyu hakutaka pesa yangu kwasababu yupo anayempa pesa. Ila kwangu mimi imekuwa vema sana na ni mwanamke bora kwa sasa katika kipindi hiki cha february.

WOSIA
Kwa mwenye demu wake huyu azidi kumhonga pesa nyingi zaidi, ili tusaidiane majukumu. mimi nikihonga dushe, naye ahonge pesa.

asubuhi mubaashara.
 
Honger Mkuu usisahau condom tu Ukimwi bado upo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom