Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti wa kiiraq(mtoto wa kimbulu) kanishika msaada tafadhali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kazuramimba, Aug 27, 2012.

 1. k

  kazuramimba Senior Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kiiraq kutoka manyara kule juu wanapaita bashnati kiukweli nimempenda so kama kuna mtu ana jua tabia zao na ishu nyinginezo anijuze kabla sijafanya maamuzi.
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 5,983
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Kiiraqw....Bashnet huko bwana..
  ukishikwa shikamana hamna la zaidi..!!
  wanasema wanagawa kama lawalawa...usikatishwe tamaa mkuu, ni maneno tu hayo!!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,948
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  chukua mtoto wewe.....tabia kila mtu ana yake.......
   
 4. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,030
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hii sampling ya kuangalia tabia kwa kabila naomba kujua source yake...yaani reference.
   
 5. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 635
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu chukua mtoto maana hao ni wajomba zangu,ila kiukweli wakifika mjini kuna tabia ambayo huwa wanaiga na hujifanya watu wa wenye huruma
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,705
  Likes Received: 3,595
  Trophy Points: 280
  thread closed!
   
 7. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kama umempenda unauliza nini, mimi ni wa kule lakini nimeamua kumchukua mchagga nasikuhoji sana, maana mimi ndiye ninaoa
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,065
  Likes Received: 2,161
  Trophy Points: 280
  mbona kama nlishwahi kusikia hao ni "Maharage ya Mbeya-Maji mara moja"??!!
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  kuna ch.izi aliamka asubuhi na kupanda juu ya mwenye.

  Ilivyofika jioni akajiangusha chini makusudi na kutulia hapo hapo.

  Dokta wake akamwuliza, mbona umejiangusha?

  chi.zi akajibu, nimeiva.

  Kwani na wee chi.zi umeiva??
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,179
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  mmmh! kwao ni haimu ghai khaimu ghalan
   
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,410
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  amefuruga moyo wako ?
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,651
  Likes Received: 12,031
  Trophy Points: 280
  ...Kila la heri.... kupenda na kupendwa raha sana.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 984
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Ni wazuri sana ingawa wakifika mijini huwa wanakuwa na huruma sana. Ni wepesi wa kutoa kila wanapoliliwa.
   
 14. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 984
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Ni wazuri sana ingawa wakifika mijini huwa wanakuwa na huruma sana. Ni wepesi wa kutoa kila wanapoliliwa. Hawapendi wenzao waumie wakati suluhisho wanalo mikononi mwao.
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  wanafaa kuwa watawala,,,,safi sana
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,239
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hakuna kitu humo .hawa si ndo wamekeketwa hao hawana ladha kabisa
   
 17. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,145
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mmenikumbusha wangu aisee. My first love was from there. Kaolewa, watoto anao lakini she still true to her first love! Sema mimi ethics zaninikaba sana, ingekua mwingine angeshavunja ndoa ya huyu binti.
  Nimekua nam advise sana ajikaze kwa ndoa yake lakini na hisi she wants to relieve stress ya marriage kidogo.
   
 18. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,391
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Maharage ya Mbeya hayo, maji mara moja
   
 19. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,415
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mkuu unashindwa kujua kua ndoa ni zaidi ya ngono, kuoa au kuolewa ni kujifunga kwanye jela ya maisha sio ngono tuu!!! Kama umempenda na tabia zake ni nzuri na yeye anakupenda sio kupitisha muda basi fanya maamuzi!!!

   
 20. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 2,979
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Hawanyimi.
   
Loading...