Wanawake njoeni hapa mje kutoa ushuhuda

Wanawake njoeni hapa mje kutoa ushuhuda

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Hivi inakuwaje ukiwa unamtongoza Demu na akiona upo serious sana anaanza kuringa Mara hajibu sms Mara hapokei Simu lakini ukiamua kumpotezea anaanza kujirudi kwa heshima tena na 18 anaachia!
Mbona nyie viumbe hamueleweki
 
Nini maana ya ushuhuda?

Nadhani ushuhuda wanapaswa kutoa wanaume wanao fanyiwa ivo[emoji41]
 
Kama jinsia yako haieleweki pita kushoto
Wewe unauza simu na hujui lugha vizuri, tena simu zenyewe used[emoji41] sasa hapo wanawake wata shuhudia nini? Hujui kutofautisha kati ya kushuhudia na kukiri?

Ngoja nikufundishe kidogo maana kiswahili ni lugha yetu[emoji41]
 
Anaweza kukusumbua mwanzo,ila akiingia kwenye uhusiano utatamani umuache kwa sababu anakaba kona zote
 
Back
Top Bottom