CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,102
Usipoangalia Haya mambo ya Ma love yanaweza kukuua, Hawa viumbe wa kike Muda mwingine ni hatari sana.
Unakumbana na yale majibu ya *I dont deserve you* Please give me space, * Wewe huna mbele wala Nyuma wakiitwa wanaume na ww utasimama? [emoji3][emoji3] Basi tu ni karaha zote..
Kadada kanataka pesa ya msuko kila siku, i phone x kauze sure instagram Na zile msg za "Jaman nisaidie elf 50 please* [emoji3][emoji3] unapambana vyote halafu Mwisho wa siku kanakwambia * Please it is over*