"Waheshimu wazazi wako nawe ubarikiwe miaka mingi na kheri duniani."
MUNGU NI MWEMA.
Amina na tuwakumbuke kwa chochote tunachopata na sio wazazi tu hata walezi
Majirani mtakumbukwa kwa salamuHata sisimajirani mtukumbuke
Majirani mtakumbukwa kwa salamu
Hivyo tunaazimana hata nikipika kapilau au ndizi nyama ntakuletea kwenye sahani si unajua vyakula vya siku moja moja lazima tuonjeshaneUmesahau kuombana moto na chumvi
Hivyo tunaazimana hata nikipika kapilau au ndizi nyama ntakuletea kwenye sahani si unajua vyakula vya siku moja moja lazima tuonjeshane
Hasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Uswahili ni kazi kweli kweli