Katika miaka yangu kadhaa ya kusoma mafanikio, ningependa wanawake waelewe hili.
.
Sio uzuri wa mwanamke utakaomfanya mume wake awe muaminifu. In fact, hauwezi kusema mimi ni mzuri bila shaka mume...
July 12, 2018 by Global Publishers
KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha...
Ukweli ni kwanza mwanaume mwenye pesa ni mwanaume atakaekupa maisha mazuri na mapenzi na mwanaume anaehesabu coins anakupa maisha ya tabu na mapenzi.Smart women marry rich men
Wakuu habar zenu..
Tukio limetokea kitaa mida ya jioni,Wanaume ktk harakati za kupark vyombo mda wa malengo kwa maboss,Mara kikapita kiumbe cha Mungu(Manzi)eneo tunalo park,design wote tumeelewa...
SUMU YA KUMUUA MUME HII HAPA
Binti alifika kwa mama yake kumlalamikia kuhusu ndoa yake. Malalamiko yake yalikuwa kama ifuatavyo:
BINTI: Mama, mume wangu amenishinda. Ninataka kumua lakini nakosa...
Hivi Mwanamke anaweza akaamua kumpenda au kuishi na mwanaume ambaye anamzidi kipato hata kama mwanaume huyo hatakuwa mwaminifu kwake kama ndio kwanini.
Hivi Mwanaume anaweza akaishi na mwanamke...
Ameniambia Yeye Ni Mke Wa Mtu Lakini Na Chati Nae Mpaka Saa Sita Usiku Kila Siku Akitaka Kulala Anasema Nimpigie Au Anapiga Yeye Anacho Niambia Anataka Kusikia Sauti Yangu Tu Na Nikimwambia Nipo...
Kuna vitu ambavyo mwanaume/mke akifanya unajua hapa tayari nimshampata mfano mtu akitoa namba; akikubali kutolewa out; akiwa anaomba lunch/breakfast (no free gift)...anajiongelesha storry za bwana...
Haya maisha haya huyu bi mkubwa alitokea kunielewa yeye mwenyewe na wala sikutumia nguvu kumpata,
Namba aliniomba yeye mwenyewe kwa sababu ya derivery ya kiepe kutoka kibandani kwangu pale...
Kuna mjane mmoja mwenye watoto wawili hapo kisiwani Zenj aliweza kukaa na wanaume wawili bila matatizo yoyote kwa zaidi ya miaka minne. Zaidi aliweza hata kuwafahamisha wanaume hao kuwa wanakula...
Wanawake hawa wa ajabu sana utakuta wanaogopa vitu vidogo sana anaweza akakushtua hadi usingizini kisa kaona mende anapita ukutani
Wanaogopa mijusi, nzi, mbu, sisimizi akiona mpaka analia ukadhan...
washikaji yamenikuta...isssue yenyewe ni kwamba nimekuwa na girl friend wangu katika uhusiano mzuri sana kwa miaka miaka, na kweli nilikuwa na imani naye sana kiasi kwamba hata mara moja sikuwahi...
Wana JF naomba ushauri wenu nifanyeje kumsahau mtu niliyempenda sana ila ananicheat?
Ninywe dawa gani?
Au nichome dawa gani nataka hata nikimuona nimuone kama takataka
Yaan mtu anaweza kosea namba ndo ukawa mwanzo wamahusiano wengine wanaenda mpaka kufunga ndoa, wengine kwa sababu mnakua mnakutana kutana sehemu ya kula ndo unakua mwanzo wa mahusiano
Wengine...
Wakuu kutokana na utafiti niliofanya kwa muda mrefu nimegundua kwamba familia nyingi zilizofanikiwa ni zile zenye damu ya kichaga ndani yake.
Uchunguzi huu nimeufanya kwa ngazi ya mtaa mpaka...
Zodwa Wabantu aamua kujinunulia pete ya uchumba na kumpa ki ben 10 chake Ntobiko Linda ili amvalishe.
Kama haitoshi, amepanga pia kujilipia mahari ili aolewe rasmi na ki ben 10 chake.
Picha zipo...
1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima.
2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia. Wewe ni mlinzi wa mumeo...
Habarini MMU
Najua wengi wetu hupenda kujua sana ni vipi girlfriend wako au boyfriend wako alivyo kusave kwenye simu,nikimaanisha namba yako ya simu alivyo iandika jina,Wengi hutegemea kukuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.