Ni kweli Man Fongo kafungwa miaka 30 jela kwa kumpa mimba mwanafunzi?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Jana wakati tunapiga piga story na masela nikamkumbuka man fongo na hii ilitokana na story tuliyokua tunaizungumzia ya ushemeji

Sasa member mmoja akanisema man fongo kafungwa miaka 30 kisa kampa mimba mwanafunzi wa form 3
Vipi hii taarifa ni kweli au ???manake jamaa sijamsikia karibuni na sijawahi sikia hii taarifa kama jamaa yupo behind bars.
 
Hata Mimi nimeisikia..sina uhakika
 
Ukweli ni kwamba jana manifongo Alihojiwa na akashangazwa na hizo taarifa zinazosambaa kwa kasi instagram, kupitia manager wake nlimsikia akisema wapo ktk mchakato wa kumtafuta aliyeanza kusambaza taarifa
Source: YouTube channel nimeisahau

Back
Top Bottom