Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,168
- 7,513
*Jamani Raha ya mke ili ikamilike ni pale atapokuletea zawadi kubwa ya pekee ambayo ni mtoto,
*Nikifikiria Miezi 9 ya ujauzito
*Nikikumbuka Tabu alizopitia kipindi hicho
*Kubwa kuliko Siku ya kujifungua Mateso na Maumivu Aliyokua akiyapata
Hatimae mwisho wa siku kafanikiwa kuniletea ka Malaika kazuriiiii,halafu kubwa zaidi Toto limefanana na MIMI nashukuru Mungu kwa uwumbaji Huu.
Nikirudi ktk OMBI langu hapo Juuu,Ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa Nini cha kumpa huyu mwanamke wangu,maaana kama ni zawadi ndogo ndogo mpk kubwa kubwa zote nimemaliza kumpa..sina uwezo wa Gari,ndege nk anajua hilo.
Uwezo wangu n mdogo tu lkn Naomba kujua n zawadi gani nitakayompa huyu mama Mtoto wangu hata akiiangalia ajue kweli MUME nimepata (zawadi ya uaminifu hiyo kashaichoka) Nahitaji zawadi nyingine hata kama ni ndogo Jaman mtakua mmenisaidia sana sana.
Nilikua nawaza lini atajifungua lkn leo nawaza Ni mshukuruje..maaana natamani hata kama ingekuja mwanaume naweza kunyonyesha bhas nilikua nafkiria nimpe OFF ya kunyonyesha jukumu liwe langu...lkn nikawaza Mtoto akilia usiku nichukue jukumu la kumbadilisha nguo yani kumsaidia mke wangu kumuhudumia mtoto kipindi hiki mtoto mchanga.
Lakini pamoja na yote hayo Moyoni mwangu sina Amani natamani nimfanyie kitu huyu mwanamke ajue tu kua Nimemshukuru na kuthamini Alichokifanya.
Watu wote naombeni msaada wenu kimawazo japo nini chakufanya Aseee sina amani kbs.
Nawasilisha.