Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1.mwanachuo 2.mfanyakazi wa oficin 3.single mother 4.teacher 5.mlevi 6.Beki 3 7.Baamedi 8.Muimba kwaya 9.Mwanafunzi 10. Police/mwanajeshi/traffic 11.kondakta 12. Hana kazi Kama upo unamiliki...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwakuwa jf most of us tunatumia ID fake ila nimewaza nikaona kwanini kila mke anayeolewa na mwanaume amdanganye kuwa amedate na wanaume wawili au mmoja tu wakati si kweli kisa hana bikra! Hivyo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Chagua namba inayokupa mori ya kazi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mshua alinichana usipooa mwanamke mwenye degree kuendelea usije kuniambia shida yoyote sasa maneno yake nimeanza kuyaelewa anamaanisha Nini? Nilijifanya kichwa ngumu sasa naanza kufanyia kazi...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Dada zetu hiv ni kweli mnapenda sana kupata mwanaume kama hyu?? Binafsi me namwona kama bwege punguani kabisa.
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Hivi inakuwaje mtu anamuacha mpenzi wake Chumbani halafu anaenda kupiga Chabo?! Hivi kuna raha gani ya kwenda kuchungulia watu wakifanya mapenzi ndio uamshe hisia zako?! Unamuacha Mtoto mzuri...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Weekend ndio hiyo imeanza naona watumishi wamekaangwa magu kaondoka na funguo za hazina kulipa mshahara mpaka ageuke, Wale watafutaji wenzangu uko wapi weekend hii na unakula bata na nani...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari.( Hana utoto utoto) 2. Atalea vizuri watoto mtakaoza kwa sababu ameshalea Mtoto wa kwanza kwa hiyo ana uzoefu. 3. Anajua thamani thamani ya kupendwa...
16 Reactions
127 Replies
17K Views
Binafsi siwezi kurudiana na ex wangu sababu ni udhaifu wa kiwango cha lami.Kuna watu unakuta waliachana na wapenzi wao kwa zaidi ya mwaka mmoja au miwili lakini mwishowe unakuja kusikia kwamba...
3 Reactions
61 Replies
12K Views
Hii mitandao ya kijamii imerahisisha maisha sana, yani unakutana na watu wengi ambao mkielewana mnakuwa jamaa wa karibu kabisa. Sasa kuna wale ambao tumekutana na Wapenzi wetu mitandaoni, huku...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Not available
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wanajamii, Mama yangu hataki nifanye kazi anataka niolewe, nimepata kazi Arusha nimemuaga mama kwamba natakiwa kwenda kuripoti akakataa nikamuuliza kwanini unakataa akaniambia anataka...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
Wewe unatongozaje, unahakikishaje hukosi mpenzi muda wote?. Kutongoza hakuna formula, ila mimi kujihakikishia nina stock ya kutosha wa warembo natumia njia zifiatazo kwa uchache. 1. Old...
8 Reactions
49 Replies
9K Views
Kuna demu nilimkataa kwa ishara bila kumwambia ninamueshimu ni rafiki yangu alinipa ushauri sana mpaka washikaji wanapambana awe mpenzi wangu naona ananijali kuliko mpenzi wangu. Bado anapambana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Wadau nipo Morogoro kikazi kwa Siku 14 nimefanikiwa kupata mtoto Mzuri hapa, Haonyeshi wasi wasi yoyote yupo tayar kukaa lodge na mimi kwa kipindi chote cha wiki mbili Lakini mashariti...
4 Reactions
109 Replies
18K Views
Hapa ni kwa jinsia zote. Unakuta uko na mpenzi, mke au mume hakujali sana wala hakuonyeshi mapenzi yoyote ya maana lakini akisikia unanyemelea mtu au unanyemelewa na mtu anakua mkali zaidi ya wale...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama una mpango wa kuoa, usichelewe sana. Usiwaze sana harusi, waza ndoa. Kama una kipato kidogo, fanya hima uoe. Wenzetu hawa huja na riziki nyingi. Utashangaa milango ya kiuchumi itakavyoanza...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimeonja pendo lako nikajua u mwemaaa,nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe! Na upole wako Bwana,na huruma yako wewe,umenitendea wema usiopimika,Nitakushukuru na kukutukuza wewe. Kina...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari wandugu kwa ujumla? Nadhani kuna wengine wana maumivu na wengine wanafurahia ndoa yao. Kwanza kabisa natoa shukurani kwa Mshana Jr kwa uzi wako mkuu huu Ule msimu umeanza tena nimeupenda...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
kila siku binadamu tunaishi kwa mipango, malengo na matamanio, shauku na Maono juu ya maisha yetu.. Hebu leo toa ya moyoni Kwa kuanza na maneno haya "Ee Mungu...... Laiti ninge...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…