Weekend hii uko wapi unakula bata na nani

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Weekend ndio hiyo imeanza naona watumishi wamekaangwa magu kaondoka na funguo za hazina kulipa mshahara mpaka ageuke,

Wale watafutaji wenzangu uko wapi weekend hii na unakula bata na nani?

Mimi leo nipo gheto mpaka mida hii ila nategemea kutoka muda si mrefu niende Zangu Club 7 (Seven) kuna kiumbe yupo kule namfata akitika narudi nae gheto nijilie vyangu.

Cc Zero IQ
 
Yule dj wa club 7 ananiboa anapenda kupiga ile ngoma ya mamamammama amina k....aaaa. Zako duhhh
 
Weekend ndio hiyo imeanza naona watumishi wamekaangwa magu kaondoka na funguo za hazina kulipa mshahara mpaka ageuke,

Wale watafutaji wenzangu uko wapi weekend hii na unakula bata na nani?

Mimi leo nipo gheto mpaka mida hii ila nategemea kutoka muda si mrefu niende Zangu Club 7 (Seven) kuna kiumbe yupo kule namfata akitika narudi nae gheto nijilie vyangu.

Cc Zero IQ
Hii club iko maeneo gan aisee
 
Mimi nipo na mkeo mda huu
 
Hivi kwa dar na kipindi hiki cha Magu ni Bar gani huwa inabamba sana weekend?
 
Back
Top Bottom